mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke mwenye akili kama Mange Kimambi

    Sio kuwakweza wengine.. Ila ukweli ndio huo. Watanzania huwa tunapenda kudanganya, huwa tunapenda kuambiwa uongo.. Ukisikiloza press ya Lema, utaona kabisa aliongea shit, alikuwa ni kama anawapanga watanzania, Haku ongea mustakabali wa taifa na jinsi tunaweza kutoka kupitia haki.. Alicho...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

    Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo. Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bila msukumo wa Mange Kimambi, maandamano yaliyopangwa Oct 29 2026 yamepuuzwa kabisa. wanaharakati bado wana mengi ya kujifunza kwa dada yao

    Wanaharakati walikuwa wameipa Oct 29 uzito mkubwa, wakipush maandamano kwa nguvu zote. Lakini sasa, siku imekaribia na mambo hayaonekani kwenda kama walivyotarajia, hata wao wameacha kuyapush, Hate her or love her, hii mashine ni kitu kingine kabisa! 🔥 Ana uwezo wa kupenya kwenye hisia za watu...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa Lema kufukuzwa CHADEMA baada ya Kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kumtaja rasmi kama msaliti

    Ninampongeza kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kwa kumtaja rasmi Godbless Lema kama msaliti wa harakati zao. Hii imetokea baada ya Lema kutamka jukwaani kuwa CHADEMA hakitafanya fujo wala kumwaga damu kitu ambacho ni kinyume kabisa na msimamo wa chama chake. Mimi siungi mkono vurugu wala...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la jeshi la polisi na Madai ya Mange Kimambi yanashabihiana kwa kiasi kikubwa

    Ukiyatafakari kwa kina matamko ya jeshi la polisi na madai ya Mange Kimambi utagundua kuwa; Ni kweli polisi wamepanga kuwakamata wanasiasa baadhi wa chama cha upinzani na wengine wachache sana(au mmoja tu) wa chama tawala pamoja na baadhi ya viongozi wa dini. Haya matamko ya leo ni maandalizi...
  6. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi awe makini na informers wake: Si kila taarifa inayovuja ni kweli

    Katika siasa, si kila taarifa unayopewa na mtu wa ndani ina maana kwamba huyo mtu anataka kukusaidia. Wakati mwingine, kuna watu wanaotoa taarifa kwa sababu zao binafsi, kutafuta umaarufu, kulinda maslahi yao au kupima upepo wa kisiasa kabla ya jambo fulani kufanyika. Ndiyo maana Mange Kimambi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watanzania wafika ubalozi wa Marekani kumshitaki Mange Kimambi

    Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi, anayeishi Marekani, wakimtuhumu kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi mbalimbali, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan. Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi atabiri vikundi vya uasi kama M23, anachosahau ni kwamba hata jeshi lilishindwa mara mbili na vikundi vingine havikudumu kabisa

    Mange Kimambi anaota ndoto za mchana? Jana, Mange Kimambi alichapisha video akizungumzia uwezekano wa kuibuka kwa vikundi vya uasi nchini Tanzania kama M23. Ukweli ni kwamba, suala la majaribio ya kuipindua serikali na changamoto za usalama si geni katika historia ya Tanzania. Hata jeshi...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na Podcast yake ya siasa kacheza kama Pele.

    Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, ni kweli connection ya Harmonize ni mpango wa CCM kuwapumbaza wananchi?

  11. K

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wamefanya zaidi ya Tulia na Makinda

    Ukiangalia hawa madada wamefanya zaidi ya hao masipika ambao wamepitisha sheria nyingi za kukandamiza demokrasia , kutuletea uchawa na umasikini mkubwa ambao unatokana ma mfumo mbaya wa ubinafsi. Kumbe sio lazima uwe mwanasiasa kuweka kuleta mabadiliko na misukomo ya kimaendeleo na demokrasia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Kina: Je, Harakati za Mange Kimambi Zinalijenga Taifa au Ni Mkakati wa "Gawa Utawale" Kudhoofisha Upinzani?

    Ndugu wana-JamiiForums, Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mange Kimambi kuhusu video ya Mwigulu Nchemba inalenga kumtetea Mwigulu

    Aidha wanaharakati wametumika au la, hio sisi haituhusu. Mange Kimambi anashindwa kuelewa kuwa kuondolewa kwa Mwigulu kunaongeza mpasuko ndani ya chama na serikali, na mapasuko unaongeza ugumu wa kuongoza nchi. Hivyo kupuuzia scandal ya mwigulu ety kwa kuogopa kutumika haina maana, kikubwa...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na kutaka kila trend iwe yake

    Mange Kimambi anaonekana kuwa na tabia ya kutaka kila siku yeye ndiye awe kwenye trend. Wengine wanapopata attention kubwa, badala ya kufurahia mafanikio yao, mara nyingi huonekana kuanza kuwashambulia. Nakumbuka Wema Sepetu alipata mtoto, Mange alimpinga hadi kufikia kutaka mtoto huyo apewe...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ameishiwa mbinu kabisa, sasa kashare idea ya watu kuandika jumbe kwenye vikaratasi na kuvitupa mitaani

    Mtu una smartphone yako 📱 Una bando lako Una account Instagram, TikTok, Facebook au WhatsApp Unapost mawazo yako kwa sekunde chache tu unapata likes, comments na post yako inaweza kutrend mtandaoni Halafu eti uanze kuandika vikaratasi na kuvidondosha barabarani? 😂
  16. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA yampa Onyo Mange Kimambi kujipa mamlaka ya usemaje wa chama?

    Wakuu hii Taarifa una uhalisia kiasi gani?
  17. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  19. K

    JamiiForums Tanzania SAKATA LA SEA CLIFF: Mtego wa kisiasa alionasa Mange Kimambi na Majibu ya Dada wa Tundu Lissu (Uchambuzi wa Kiintelijensia)

    Maudhui ya Uzi: WanaJF, Katika medani ya kisiasa nchini, mipaka kati ya harakati za kweli na siasa za majitaka imekuwa ikifutika kwa kasi kutokana na nguvu ya mitandao ya kijamii. Hali hii imedhihirika hivi karibuni baada ya mwanaharakati wa kidijitali anayeishi Marekani, Mange Kimambi, kuibua...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Pompom za Magufuli hadi Vita na CHADEMA: Mange Kimambi Anapigania Mabadiliko au Anavuruga Upinzani?

    Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
Back
Top Bottom