SI KWELI Je, ni kweli connection ya Harmonize ni mpango wa CCM kuwapumbaza wananchi?

SI KWELI Je, ni kweli connection ya Harmonize ni mpango wa CCM kuwapumbaza wananchi?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Mange Kimambi.jpg
 
Tunachokijua
Tunachokijua: Pichani ni mwanadada Mange Kimambi ambaye ni mwanaharakati wa Tanzania na mtu mwenye ushawishi katika mitandao ya kijamii. Alijulikana kwa mara ya kwanza kwa maudhui yake ya mitandao ya kijamii na kwa kuunda Programu ya Mange Kimambi, programu ya kwanza ya umbea na habari iliyofanikiwa nchini Tanzania.

Madai

Kwenye baadhi ya mitandao ikiwemo X (Twitter) kumekuwa na poster yenye utambulisho wa chombo cha habari cha JamboTV ikidaiwa kumnukuu mwanaharakati Mange Kimambi kuwa amesema connection ya Harmonize ni mpango wa CCM kuwapumbaza wananchi.

Je, uhalisia ni upi?

JamiiCheck imefuatilia kwa kutumia zana za kidigitali na utafutaji wa maneno muhimu (keywords search) na imebaini kuwa madai hayo si ya kweli.

Imebainika kuwa taarifa hiyo haijachapishwa na JamboTV kama inavyodaiwa. Aidha, Mange Kimambi pia hajachapisha maneno hayo kwenye kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii ikiwemo X (Twitter)
kuna ugeni kule Arusha, sasa muongeree porojo za wanamziki sio kufuatilia habari muhimu
 
Back
Top Bottom