Ukiangalia hawa madada wamefanya zaidi ya hao masipika ambao wamepitisha sheria nyingi za kukandamiza demokrasia , kutuletea uchawa na umasikini mkubwa ambao unatokana ma mfumo mbaya wa ubinafsi.
Kumbe sio lazima uwe mwanasiasa kuweka kuleta mabadiliko na misukomo ya kimaendeleo na demokrasia nchini. Na kwa kiasi kikubwa wanasiasa ndiyo wametuletea umasikini mkubwa na wanaendelea kutuletea umasikini mkubwa nchini.