Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.

Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions.

Yoyote anaetaka kuhoji statements za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.

Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statements….

HSrzgfeaoAAWONt.jpeg
HSrzgffa8AAOE-f.jpeg
HSrzgfbasAA51PT.jpeg
HSrzgfmakAARHY1.jpeg

​
 
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.

Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions.

Yoyote anaetaka kuhoji statements za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.

Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statements….

View attachment 3674719View attachment 3674720View attachment 3674721View attachment 3674722
Du! Kazi kweli. Harafu unakuta jitu kama Lukas Mwashamba et al. ambayo account zao hata hazina fedha yeyote bado yanawapigania CCM.
Wajinga ndio waliwao. Jamani wanaCCM wenzangu tuendelee kukupigania chama chetu cha mapinduzi ili ndugu zetu waendelee kupiga mabilioni. Tukazane tu
 
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.

Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions.

Yoyote anaetaka kuhoji statements za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.

Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statements….

View attachment 3674719View attachment 3674720View attachment 3674721View attachment 3674722

Chief Pascal Mayalla naona Sasa hivi kukuta Mtumishi wa Umma na Bilioni kwenye akaunti zake ni jambo la kawaida sana. Kweli mishahara na Marupurupu ya watumishi ipo vizuri sana...watu wananunua hadi Bond za Bilioni 1.2 hapo kila baada ya Miezi 6 ana uhakika wa kupata Milioni 180 (kiasi cha Milioni 30 Kila mwezi) kama ni Bond inayotoa coupon rate ya 13% kwa Mwaka, bila kufanya kazi yeyote una uhakika wa kuingiza Milioni 30 Kila mwezi inayolipwa kila baada ya miezi 6 Milioni 180 yaani kwa Mwaka Milioni 360 tena bila Kodi.
 
Kuna watu wana hela jamani🙆🏿‍♂
Sasa naelewa kwa nini CCM wanamchukia sana Lissu. Hakuna mtu asiyejua kwamba Lissu anachukia sana mambo ya rushwa na CCM wamemuonga na amekataa. Kwa hiyo wanajua kabisa jamaa akichukua nchi mambo yakuiba fedha ndo yatakuwa yamekwisha. Na watu watafungwa kwa sababu ya wizi wa mali za umma.
Sijawai kusikia mwanaCCM yeyote anayejaribu kutetea chama chake na watu wake kwa kulinganisha unyoofu wa Lissu ama Heche etc na Samia, zaidi sana ni porojo tu za kishabiki ambazo hazina uhalisia.
 
Chief Pascal Mayalla naona Sasa hivi kukuta Mtumishi wa Umma na Bilioni kwenye akaunti zake ni jambo la kawaida sana. Kweli mishahara na Marupurupu ya watumishi ipo vizuri sana...watu wananunua hadi Bond za Bilioni 1.2 hapo kila baada ya Miezi 6 ana uhakika wa kupata Milioni 180 (kiasi cha Milioni 30 Kila mwezi) kama ni Bond inayotoa coupon rate ya 13% kwa Mwaka, bila kufanya kazi yeyote una uhakika wa kuingiza Milioni 30 Kila mwezi inayolipwa kila baada ya miezi 6 Milioni 180 yaani kwa Mwaka Milioni 360 tena bila Kodi.
Kwa hali hii bila wananchi kuamka na kupigania nchi yao, Aisee tukubali kuuwawa ama kusifia ili tuishi na waheshimiwa waendelee kula fedha
 
Back
Top Bottom