Watu wana hack mpaka ikulu ya Trump hadi computer systems za Pentagon sembuse CRDB ya bongo.Huyu kahaba anajua kuwapumbaza wale nyumbu wake wa chadema, na wanaamini kabisa hiyo taarifa ni ya kweli. Siyo rahisi kupata statement ya benki ya mtu sembuse ya IGP? Tumieni akili badala ya makalio. Huyo mfanyakazi wa benki atakayejaribu labda hajipendi, kwa teknolojia iliyopo atakayehusika na huo upuuzi anajulikana. Mnatengeneza upuuzi wenu kujaribu kupandisha hasira za wananchi, kuchochea chuki dhidi ya viongozi, ila ni wapumbavu wachache mtawapata, mwisho wa huyo malaya ni mbaya sana!
Ungeweka ushahidi kwamba huyo mwenye kidogo ni mwizi ingeleta maana.Unaweka shutuma tu bila hata ushahidi kuthibitisha!?Mange anajenga hoja kipuuzi sana, kwake heri anayekula kidogo kuliko yule anayekula kingi!.
Kama hawezi kumkemea anayekula kidogo anapata wapi jeuri ya kumlaumu anayekula kingi?
Badala aje na hoja ya kumsafisha Heche kama angeweza, ameona aje kuuficha uchafu wa Heche kwa kuweka uchafu mwingine juu yake!
Hao wote ni wachafu bila kujali kiasi wanachokula, aache uchambuzi wake wa kitoto.
Asante sana. Ss tugawanye kwa bil 24 tunapata ngapi vile.Kaingiziwa milioni 10 na milioni 20 na Salmin kwenye akaunti yake chawa wa CCM wanataka TAKUKURU ichunguze.
Katuga ni bwege tu hana akili cjui hiyo law school alisomea wapi shameful on himPumbavu zake sana katuga
Hiyo jamaa ana stress zake na jealous zake mimi huwa namjibu kadri anavyokuja.Argument zako zinaonesha elimu yako ni ya hapa na pale.
Ila,wametaka fita!Na,fita ni fita muraa!Mpaka washike bunduki.Wahuni Wameshika Hatam
Ndio maana Mange kawapa warning wasitingishe meza wata regret nyaraka zao zitatoka ikulu.Asante sana. Ss tugawanye kwa bil 24 tunapata ngapi vile.
Unajua waandishi wa zamani walisema vizuri sana, kuna ufisadi ulitokeaga lile gazeti ilieleza kwa urahisi sana ule ufisadi.
Ilisema ukizipanga hizo pesa toka Dar zinafika songea au mbeya.
Watu walidata sana aiseee.
Mwache amtetee na wewe tetea wengine.Ila mbona kama Mange anamtetea sana Heche kuna nini kati yao... inatia shaka
Heche hakuna pesa yoyote ameiba, akaunti zote za CHADEMA zimefungiwa kwa zaidi ya mwaka sasa, Tone tone ni michango ya huruma ya wananchi na hata sasa hivi wakiombwa wako tayari kumchangia, Hakuna mahali ambapo Heche ameiba cha mtu, Mimi na UCCM Wangu nachangiaga CHADEMA kwa kuwa wanawakilisha ajenda za wanyonge, na hata sasa wakitangaza mchango nikiwa nazo nitampa Heche, akale tu basi.Mange anajenga hoja kipuuzi sana, kwake heri anayekula kidogo kuliko yule anayekula kingi!.
Kama hawezi kumkemea anayekula kidogo anapata wapi jeuri ya kumlaumu anayekula kingi?
Badala aje na hoja ya kumsafisha Heche kama angeweza, ameona aje kuuficha uchafu wa Heche kwa kuweka uchafu mwingine juu yake!
Hao wote ni wachafu bila kujali kiasi wanachokula, aache uchambuzi wake wa kitoto.
Basi wachunguzwe viongozi wa serikali kwanza Kisha twende kwenye vyama au vipi mjenga hoja za kisomo?Mange anajenga hoja kipuuzi sana, kwake heri anayekula kidogo kuliko yule anayekula kingi!.
Kama hawezi kumkemea anayekula kidogo anapata wapi jeuri ya kumlaumu anayekula kingi?
Badala aje na hoja ya kumsafisha Heche kama angeweza, ameona aje kuuficha uchafu wa Heche kwa kuweka uchafu mwingine juu yake!
Hao wote ni wachafu bila kujali kiasi wanachokula, aache uchambuzi wake wa kitoto.
We are not in that kind of acontext man. Jadili ufisadi mkubwa ambao Mange ameuibuaIla mbona kama Mange anamtetea sana Heche kuna nini kati yao... inatia shaka
Ufisadi ni ufisadi tu, Wizi ni wizi tu na Rushwa ni rushwa tu. Hakuna fisadi mkubwa wala mdogo, Hakuna mwizi mkubwa wala mdogo, vile vile hakuna mla rushwa mkubwa wala mdogo. Kama ni ufisadi wote waitwe mafisadi, kama ni wezi wote waitwe wezi na kama ni wala rushwa wote waitwe wala rushwa.Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions.
Yoyote anaetaka kuhoji statements za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.
Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statements….
View attachment 3674719View attachment 3674720View attachment 3674721View attachment 3674722
Aweke hapa na statement ya Prof. Anna TibaijukaKama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions.
Yoyote anaetaka kuhoji statements za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.
Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statements….
View attachment 3674719View attachment 3674720View attachment 3674721View attachment 3674722
Kwasababu Heche anaonewa. Sasa atetewe na akina nani? Tegemeo la watu wengi kwasasa ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Hao ndio wanaweza kuisaidia nchi kuwawajibisha wauaji.Ila mbona kama Mange anamtetea sana Heche kuna nini kati yao... inatia shaka
Tibaijuka ile ilikuwa pesa ya shule. Sema tu kwasababu aliyempatia aliiba na yeye akaingia kwenye kashafa na akawajibika.Aweke hapa na statement ya Prof. Anna Tibaijuka
Tofautisha matumizi ya mali ya umma na mali binafsi.Ufisadi ni ufisadi tu, Wizi ni wizi tu na Rushwa ni rushwa tu. Hakuna fisadi mkubwa wala mdogo, Hakuna mwizi mkubwa wala mdogo, vile vile hakuna mla rushwa mkubwa wala mdogo. Kama ni ufisadi wote waitwe mafisadi, kama ni wezi wote waitwe wezi na kama ni wala rushwa wote waitwe wala rushwa.
Kipimo kile kile kinachotumika kuwapima wanachama wa CCM, ndiyo pia kitumike kumpima na Heche. Kama kweli tunapinga ufisadi hatupaswi kuwa na double standards. Bwana Yesu alitufundisha "Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa" Mathayo 7:2