Nimekupata vizuri: Tulinganishe uadilifu wa Lissu, Heche etc against uadilifu wa Samia & co! Haiwezekani. Ni sawa na kulinganisha dunia na mbingu.Sasa naelewa kwa nini CCM wanamchukia sana Lissu. Hakuna mtu asiyejua kwamba Lissu anachukia sana mambo ya rushwa na CCM wamemuonga na amekataa. Kwa hiyo wanajua kabisa jamaa akichukua nchi mambo yakuiba fedha ndo yatakuwa yamekwisha. Na watu watafungwa kwa sababu ya wizi wa mali za umma.
Sijawai kusikia mwanaCCM yeyote anayejaribu kutetea chama chake na watu wake kwa kulinganisha unyoofu wa Lissu ama Heche etc na Samia, zaidi sana ni porojo tu za kishabiki ambazo hazina uhalisia.