Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama
Chief Pascal Mayalla naona Sasa hivi kukuta Mtumishi wa Umma na Bilioni kwenye akaunti zake ni jambo la kawaida sana. Kweli mishahara na Marupurupu ya watumishi ipo vizuri sana...watu wananunua hadi Bond za Bilioni 1.2 hapo kila baada ya Miezi 6 ana uhakika wa kupata Milioni 180 (kiasi cha Milioni 30 Kila mwezi) kama ni Bond inayotoa coupon rate ya 13% kwa Mwaka, bila kufanya kazi yeyote una uhakika wa kuingiza Milioni 30 Kila mwezi inayolipwa kila baada ya miezi 6 Milioni 180 yaani kwa Mwaka Milioni 360 tena bila Kodi.
Duh! Yani ana uwezo wa kula m1.+ kila siku. Aisee-Aiseee?
 
Polisi ana mabilioni, na hiyo ni akaunti moja tu.
Hio ya Wambura aliwekewa one billion..
Hio yenye usd, eur na gbp ni ya yule mtoto wa Kizigha... jumla hapo inakuja bilioni 24 na zaidi...
 
Waliokuwepo Premium Account ya Insta ya Mange Kimambi tuliona kila kitu.

Mpaka Mange alipigwa ban ya maisha insta, yani siyo account ile tu, bali hata kufungua nyingine haruhusiwi.

Inavyoonekana gavoo iliingia miguu miwili kumfungia.

Ndiyo maana anasema wanatingisha meza yenye vinywaji vya gharama sana, maana hizo bank statement za Heche ni cha mtoto.
 
Sasa hawa watu watashindwa kukuua?
Kama wameweza kudharau katiba na kumuondoa makamu wa Rais kinjama watashindwa kupita na wewe?
Wapo radhi hata kumaliza robo ya Watanzania ili tu waendelee kuiba...
 
Safi sana CRDB imekuwa bank ya wahuni. Lazima kujiepusha nayo. Acc za watu zinawekwa hadharani kimasihara
 
Chawa wa mboga mboga hapa hawapiti na wanajifanya hawaoni.
Duuh.
Kwasababu jamaa wanapiga na Heche naye ni halali kupiga sasa Mageuzi ya nini si bora tuendelee na hawa hawawashakula sana wameanza kushiba.
 
Tutaaminije maneno yako ndugu?

Si basi ungeiweka hiyo Bank Statement hapa Ili kuufanya mjadala kuwa mtamu kwa kuwa kunakuwa na ushahidi wa wazi?

Au unaogopa kuingia kwenye mtego wa "kujiingiza chaka" Benki inazotunza hizo pesa?

Lakini kina Nassoro Katuga waliitoa ya John Heche wazi tena mahakamani bila hata ridhaa ya mwenye Akaunti na wakawapa machawa wao kuzianika mitandaoni..

Kama JF wanaogopa, peleka kwenye social media zingine huko..
 
Hakuna wa kukemea maana hizo billions Kila mtu anazo. Sasa pesa wanazikusanya za kazi gani? Na wanaishi humu humu kwenye Barabara za mashimo
 
Back
Top Bottom