Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama
Unajua kiasi cha mshahara anachopokea afisa wa ngazi hiyo? How in hell anafikia loan ya 1b?
Good. Kwakuwa tumeshaikubaliana kuwa hiyo ni loan. Basi tunaenda vema.

Kwenye loan naomba wataalamu wa biashara waje kutupa mwongozo mzuri zaidi.

Lakini, jua kuwa si watumishi wote wanategemea mishahara. Mikopo ina mambo mengi kuliko unavyodhani. Kwahiyo kuweka akili kuwa amepata mkopo sababu ya ufisadi, sioni kama hiyo ni hekima, labda kama utalazimisha tuwe tunafanya maamuzi kwa mihemko.

Pia, angalia lengo la mpachaji wa iyo statement, motive behind. Ameficha kwa kukunja kunja sehemu inayoonesha kuwa iyo ni fedha ya mkopo badala ya kuweka wazi kabisa.

Pili, Statement haina muhuri au proof of authenticity, tuseme bas amefanya hivyo kutetea ugali wake, lakini je, wakiprint statement yenye jina lako wakaweka 2b, statement ambayo haina muhuri tutasema ni kweli una hizo ela?

Hata kama tunataka kukomboa nchi yetu, sio kwa kusingiziana na kuamini kila tunachokiona kwa mitandao. Leo amewekwa huyo. Kesho watatengeneza picha uko na mke wa mtu..na sisi tuamini bila kuthibitisha?
 
Mange anajenga hoja kipuuzi sana, kwake heri anayekula kidogo kuliko yule anayekula kingi!.

Kama hawezi kumkemea anayekula kidogo anapata wapi jeuri ya kumlaumu anayekula kingi?

Badala aje na hoja ya kumsafisha Heche kama angeweza, ameona aje kuuficha uchafu wa Heche kwa kuweka uchafu mwingine juu yake!

Hao wote ni wachafu bila kujali kiasi wanachokula, aache uchambuzi wake wa kitoto.
Na mimi na shangaa hapa sasa kama tone tone wanalinyonya wakipewa nchi si watakuwa kama hawa tu?
 
madhara ya islam sharia banking mnaanza kuyaona sasa, damage ambayo hii regime imeifanyia nchi yetu kama tukiwa na bahati sana itatuchukuwa miaka ~20 ku-undo vinginevyo tunaongelea 50 years, banking industry yote tuliotumia miaka mingi na jasho kuijenga kwisha, is down the toilet, crdb ilikuwa success story, so sad.

rip crdb ...
 
Huyu kahaba anajua kuwapumbaza wale nyumbu wake wa chadema, na wanaamini kabisa hiyo taarifa ni ya kweli. Siyo rahisi kupata statement ya benki ya mtu sembuse ya IGP? Tumieni akili badala ya makalio. Huyo mfanyakazi wa benki atakayejaribu labda hajipendi, kwa teknolojia iliyopo atakayehusika na huo upuuzi anajulikana. Mnatengeneza upuuzi wenu kujaribu kupandisha hasira za wananchi, kuchochea chuki dhidi ya viongozi, ila ni wapumbavu wachache mtawapata, mwisho wa huyo malaya ni mbaya sana!
Na zile gari zilizopigwa picha kwa Kizigha nazo ni fake?
Acheni kuwafanya watu ni wajinga...
Watu wameona hayo magari ya mabilioni na zilipowekwa plate number mifumo ikasoma na jina likaja...
Msifanye watu wajinga....
 
Kula ule chako sio cha umma tena chenye makando kando, mtumishi wa umma unatoa wapi B ya kuweka benki angekuwa Bharesa tungesema biashara zake, Wambura?
Ile michango haikuwa yake binafsi.
 
Heche hakuna pesa yoyote ameiba, akaunti zote za CHADEMA zimefungiwa kwa zaidi ya mwaka sasa, Tone tone ni michango ya huruma ya wananchi na hata sasa hivi wakiombwa wako tayari kumchangia, Hakuna mahali ambapo Heche ameiba cha mtu, Mimi na UCCM Wangu nachangiaga CHADEMA kwa kuwa wanawakilisha ajenda za wanyonge, na hata sasa wakitangaza mchango nikiwa nazo nitampa Heche, akale tu basi.
Mwenyewe ameshaomba radhi wewe ndie unamtetea kirahisi hapa.

Kama hajaiba chochote kwanini amejigeuza bubu hajitetei?!

Amka wewe.
 
"Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo sana huwa dhalimu katika lililo kubwa pia." Luka 16:10
 
Hawa ndio wana haki ya kusema nchi imefunguka 'mama amefungia nchi' wengine tuache kufuata mkumbo.
 
"Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo sana huwa dhalimu katika lililo kubwa pia." Luka 16:10
Naam. Na huo ndo UKWELI halisi. Yule mwandishi alikuwa na akili++
 
Eti mnatingisha kiberiti, huyo kahaba anawaonaje wafuasi wa chadema? Kwamba ni mazuzu kiasi hicho? Huyo malaya ni Mmarekani anataka nchi yetu ichomwe moto? Ili iweje? Tuishi wapi? Wote tutapata uraia wa Marekani? Anachochea vijana hasa wale wasijielewa kwa kutengeneza document vyeti. Kingine anawapumbaza nyumbu kwamba ana uwezo wa kupata taarifa nyeti tena kutoka benki, nawadharau sana hawa wanaomwamini, ni aibu, ni fedheha, ni udumavu wa akili kumwamini huyo mbwa ambaye hata siyo raia wa nchi yetu!
Ila na hii serikali imezubaa mnooo, ingekuwa kwa Kagamr hako kahaba kangeshakamatwa au kutangulizwa ahera, alikofikia siyo wa kumpuuza ana malengo makubwa machafu sana! Shauri yenu vyombo mtajikuta mmchelewa km mwaka jana! Hii mitandao msiipuuze! Huyo Rais km anaona edda ni muhimu aache Urais wetu! Ndiyo shida ya kumweka mwanamke kuwa Rais tena mwenye complication ya mambo ya EDDA
Tulia sindano ikuingie vizuri, usijitikise, sindano itakatika..
 
Back
Top Bottom