Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama
Makamu Mwenyekiti wa "Chama kikuu cha siasa nchini" anawekewa hela zisizo na maelezo yanayoeleweka unakuja kutuambia ni mambo binafsi? Halafu mnajitutumua kujidai ni waadilifu? Nyinyi ndio ambao Mh. Makonda alisema mnapinga rushwa kwasababu hampo jikoni, siku mkiingia tutakuta mmjaa mafuta mdomoni, usoni na mikononi.
Hii statement ya kuwa " kwa kuwa hawako jikoni" ndio shida inathibitisha kuwa jikoni watu wanashiba mafuta haipingi wizi ila inathibitisha shida nikuwa wale wanaowaona wana wivu ndio maana yake
 
Du! Kazi kweli. Harafu unakuta jitu kama Lukas Mwashamba et al. ambayo account zao hata hazina fedha yeyote bado yanawapigania CCM.
Wajinga ndio waliwao. Jamani wanaCCM wenzangu tuendelee kukupigania chama chetu cha mapinduzi ili ndugu zetu waendelee kupiga mabilioni. Tukazane tu
Account apate wapi wakati anaishi kwa Songesha na Bustisha?
 
Huyu kahaba anajua kuwapumbaza wale nyumbu wake wa chadema, na wanaamini kabisa hiyo taarifa ni ya kweli. Siyo rahisi kupata statement ya benki ya mtu sembuse ya IGP? Tumieni akili badala ya makalio. Huyo mfanyakazi wa benki atakayejaribu labda hajipendi, kwa teknolojia iliyopo atakayehusika na huo upuuzi anajulikana. Mnatengeneza upuuzi wenu kujaribu kupandisha hasira za wananchi, kuchochea chuki dhidi ya viongozi, ila ni wapumbavu wachache mtawapata, mwisho wa huyo malaya ni mbaya sana!
Ukienda bank kuomba bank statements,unaomba kwa teller's au kwa manager wa bank?
 
Bilioni 30 sio mchezo mzee kwa mtumishi
Kama amewekeza kwenye kilimo pesa ambazo alikopa bank kupitia mshahara wake, billion 30 anaweza kuwanayo simple tu!
Mimi kabla ya kupata anguko kubwa la kiuchumi! Nilikuwa nanunua mazao then baadae nayauza,ndani ya miaka minne tu nilipata kama milioni mia na 50! ila magu alitufilisi! Kumbuka mtaji wetu ulikuwa mdogo,
Sasa kwa level ya mtu kama IGP kuwa na pesa iyo ni kawaida sana kama amewekeza kwenye kilimo au biashara zingine mkuu.
billion 30 ni hela ya kawaida kwa mtu ambae yupo kwenye biashara either ya kilimo au real estate.
 
Kama amewekeza kwenye kilimo pesa ambazo alikopa bank kupitia mshahara wake, billion 30 anaweza kuwanayo simple tu!
Mimi kabla ya kupata anguko kubwa la kiuchumi! Nilikuwa nanunua mazao then baadae nayauza,ndani ya miaka minne tu nilipata kama milioni mia na 50! ila magu alitufilisi!
Sasa kwa level ya mtu kama IGP kuwa na pesa iyo ni kawaida sana kama amewekeza kwenye kilimo au biashara zingine mkuu.
Oooh. Pole
 
Kwa hali hii lazima waendelee kuua ili watawale milele,,
 
Haujalogwa lakini umekosea. Tatizo ni kama huyo fisadi mdogo anataka akabidhiwe nchi. Sasa mtu kama huyo akikabidhiwa hazina si atakuwa kama waliomtangulia?

Na hii ndio experience ya nchi nyingi za Afrika. Chiluba alipokuwa mpinzani alikemea sana ufisadi. Alipopata urais, alijaza magodown na suti za bei mbaya. Wamalawi walimpigania Mchungaji Chakwera awe Rais wao baada ya kuchoka na ufisadi wa serikali ya Peter Mutharika. Chakwera akawa mwizi kuliko Mutharika. Leo Mutharika amekabidhiwa tena urais.

Ndio maana kama mtu ambae hata hajashika dola anakuwa na tuhuma kama hizo, ni wajibu wetu na wa chama chake kuhakikisha kuwa hizo tuhuma hazina ukweli. Wasipofanya hivyo ni dalili kuwa wakishika dola tutawakumbuka hao tunaosema waliuza bandari.

Amandla...
Heche ni mfanyakazi wa serikali kitengo gani ??
Na waliomuwekea Hela hawajui akaunt ya chama
 
Back
Top Bottom