kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,570
- 2,200
Kila mbuzii ataaaaaaIla mbona kama Mange anamtetea sana Heche kuna nini kati yao... inatia shaka
Kila mbuzii ataaaaaaIla mbona kama Mange anamtetea sana Heche kuna nini kati yao... inatia shaka
Fresh tu mambo ya kawaida sana hayoKama ulivyoingiziwa wewe na wasirra
Kiufupi kama Heche ana jinai afunguliwe,na hawa wa mabilioni ya pesa waseme wanapataje hizo hela,daah aisee.Mange anajenga hoja kipuuzi sana, kwake heri anayekula kidogo kuliko yule anayekula kingi!.
Kama hawezi kumkemea anayekula kidogo anapata wapi jeuri ya kumlaumu anayekula kingi?
Badala aje na hoja ya kumsafisha Heche kama angeweza, ameona aje kuuficha uchafu wa Heche kwa kuweka uchafu mwingine juu yake!
Hao wote ni wachafu bila kujali kiasi wanachokula, aache uchambuzi wake wa kitoto.
Una fikiria jina la NYUMBU mliitwa tu bila ya sababu?Ushahidi wa kunyonya uko wapi
Au ukasuku tu
Watapoteza yesNje ya mada kidogo
Kuna watu hapo Bank watapoteza kazi
Hizo ndogo sana mbona.
Hatujadili hoja ndogo na za kipumbavu!Chawa wa mboga mboga hapa hawapiti na wanajifanya hawaoni.
Duuh.
Kwa kusema kuwa Heche hana access na akaunti za Chadema? Kuwa Mnyika ndio accounting officer wa Chadema na sio Heche?Kulikuwa na shutuma tofauti tofauti, ya kwanza ya Heche anatumia/anakula pesa za tonetone ndipo mnyika akalitolea ufafanizi, kwanini mnyika? Jibu unalo.
Pesa kuweko kwenye akaunti ya Heche si uthibitisho kuwa ni za kwake. Na nimesema hapo awali si uthibitisho kuwa ni pesa haramu. Kwa spirit hiyo hiyo, pesa kuweko kwenye akaunti ya mtumishi wa umma au mfanyabiashara si uthibitisho kuwa wao ni mafisadi. Hauwezi kumtetea Heche kuwa hizo pesa ni za kwake halafu ukamgeukia Kizigha kuwa ni fisadi kwa sababu ana mabilioni kwenye akaunti yake. Ndio maana mimi sijawahi kumuita Heche fisadi lakini sishangai wapinzani wake wanapo hoji ipatikanaji wa hayo mapesa.Hizi zilikuwa ni tuhuma namba 2, Pesa ni za Heche, account ni ya Heche, Wewe, katuga na wengine hamjawahi kuthibitisha kuwa pesa hizo zimetokana na ufisadi, mmeibua hoja za kuwapa watu uwanja wa kumshambulia Heche.
Sio lazima kuthibitisha. Rumors zinatosha sana kumharibia mtu. Wafuasi wengi wa Chadema wanaamini kuwa Mbowe amelamba asali bila uthibitisho wowote.Serikali ina mikono ya kila aina kuweza kuthibitisha Heche amefanya ufisadi/ameingiziwa fedha haramu…!
Mmeshikwa pabayaa, 😂😂😂Hatujadili hoja ndogo na za kipumbavu!
Ahahahahaha! Lissu anasubiri kunyongwa hadi kufa na hakuna mbwa yoyote itakayofanya chochote hadi ananyongwa hadi kufa halafu eti tumeshikwa pabaya? Ahahahahaha!!Mmeshikwa pabayaa, 😂😂😂
Polee chawa wewe, 😂😂😂Ahahahahaha! Lissu anasubiri kunyongwa hadi kufa na hakuna mbwa yoyote itakayofanya chochote hadi ananyongwa hadi kufa halafu eti tumeshikwa pabaya? Ahahahahaha!!
Umeshazoea, ngoja dudu baya akusikie.Fresh tu mambo ya kawaida sana hayo
Leo Lissu akinyongwa kesho Samia anakufa wewe binafsi utapata faida gani.Ahahahahaha! Lissu anasubiri kunyongwa hadi kufa na hakuna mbwa yoyote itakayofanya chochote hadi ananyongwa hadi kufa halafu eti tumeshikwa pabaya? Ahahahahaha!!
Katuga Account yake ina pesa nyingi kupita maelezo, Account zake z ichunguzweKama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions.
Yoyote anaetaka kuhoji statements za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.
Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statements….
Katuga ana pesa nyingi pengine kumzidi hata huyo wamburaKwa hali hii bila wananchi kuamka na kupigania nchi yao, Aisee tukubali kuuwawa ama kusifia ili tuishi na waheshimiwa waendelee kula fedha
Account za Wakili muongo Katuga zichunguzweSasa naelewa kwa nini CCM wanamchukia sana Lissu. Hakuna mtu asiyejua kwamba Lissu anachukia sana mambo ya rushwa na CCM wamemuonga na amekataa. Kwa hiyo wanajua kabisa jamaa akichukua nchi mambo yakuiba fedha ndo yatakuwa yamekwisha. Na watu watafungwa kwa sababu ya wizi wa mali za umma.
Sijawai kusikia mwanaCCM yeyote anayejaribu kutetea chama chake na watu wake kwa kulinganisha unyoofu wa Lissu ama Heche etc na Samia, zaidi sana ni porojo tu za kishabiki ambazo hazina uhalisia.
Za katuga ni nyingi kuliko hizoHizo ndogo sana mbona.
Mtu anafurahiaje kifo cha binadamu mwenzake? Unapomuita mtu kama huyu chawa, unakuwa umewadhalilisha chawa.Polee chawa wewe, 😂😂😂
😂😂😂Mtu anafurahiaje kifo cha binadamu mwenzake? Unapomuita mtu kama huyu chawa, unakuwa umewadhalilisha chawa.
Amandla...
Mshauri Kingai ana tabia kama hizo.Mtu anafurahiaje kifo cha binadamu mwenzake? Unapomuita mtu kama huyu chawa, unakuwa umewadhalilisha chawa.
Amandla...