jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Muliro: Tutashughulika na Makundi yanayopanga kufanya vurugu Novemba 6, hukumu ya Lissu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Inspekta wa jeshi la polisi aliyeshinda tuzo ya uandishi wa fasihi ya kiswahili Afrika, amtaja Shigongo

    Siku kadhaa zimepita tangu Inspekta wa Polisi Salim Hussein Ng'anzi ashinde Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025/2026, afande huyo amemtaja Mbunge wa Buchosa (CCM), Mkurugenzi wa Global Group na Mwamasishaji, Eric James Shigongo kwamba, amechangia yeye kufika alipo sasa. Afande...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari

    Jeshi la Polisi limetajwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari nchini Tanzania, huku wadau wa sekta hiyo wakitaka uchunguzi wa vitisho na mashambulizi dhidi ya wanahabari kufanyika kwa haraka na wahusika kuwajibishwa. Hayo yameelezwa leo, Oktoba 29, 2026...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Makala ya BBC (video) kumbukizi la mauaji ya 29/10: Serikali na Jeshi la Polisi wakataa kutoa ushirikiano wa kujibu maswali ya mwandishi

    https://youtu.be/izWs1lJ4QrI?si=T7BS6pnvbL4C6Ynx 1. Kuna baadhi wahanga bado wanauguza majeraha ya risasi za polisi mpaka leo. Wataka serikali iwafidie gharama 2. Mama mmoja aliyekuwa mwanae mmoja wa kike na wa pekee aliuwawa kwa risasi za polisi akiwa dukani akinunua vocha ya simu.. 3...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la jeshi la polisi na Madai ya Mange Kimambi yanashabihiana kwa kiasi kikubwa

    Ukiyatafakari kwa kina matamko ya jeshi la polisi na madai ya Mange Kimambi utagundua kuwa; Ni kweli polisi wamepanga kuwakamata wanasiasa baadhi wa chama cha upinzani na wengine wachache sana(au mmoja tu) wa chama tawala pamoja na baadhi ya viongozi wa dini. Haya matamko ya leo ni maandalizi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tunaonya Wanasiasa na Viongozi wa dini wanaopanga kwa siri kufanya vurugu

    Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Vijana kanda ya Victoria, Fred Masele anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za Uchochezi

    Mwenyekiti wetu wa Vijana kanda ya Victoria, Fred Masele anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za Uchochezi, tumekwenda kumwona Polisi Central Kirumba. Tumefika majira ya saa Kumi na mbili na nusu tukiwa na mama na baba yake mzazi Mzee Masele, Mkurugenzi wa mafunzo na Uenezi Stephen Odipo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Ulanga latekeleza Programu ya “Ongea Na Kamanda” Kata ya Ketaketa - Morogoro

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA”, iliyotekelezwa katika Kata ya Ketaketa na Kijiji cha Ketaketa, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro. Programu hiyo imelenga kuwapa wananchi fursa ya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Ulanga Latekeleza Programu ya “Ongea Na Kamanda” Kata Ya Lukande - Morogoro

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA,” iliyotekelezwa katika Kata ya Lukande, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro. Programu hiyo inalenga kuwapa wananchi fursa ya kueleza kero na changamoto...
  10. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Nimekosa Imani na jeshi la POLISI

    Ndugu wanajamii, Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu . Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma Labaini Raia Aliyedhaniwa Kutekwa Alikimbia Madeni na Kwenda Kahama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa. Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Maadhimisho Miaka 60 ya Jeshi la Polisi

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimetenga 3m inisaidie kujiunga na jeshi la polisi Tanzania

    Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
  16. R

    JamiiForums Tanzania Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

    Kama waungwana tunatoa pole. Basi na nyinyi tunawaombea mubadirike muwe Police Peoples Service and NOT Force. Ikataeni falsafa ya Kifo ni Kifo. RIP Kamanda.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa "Kulidhibiti" Jeshi la Polisi kabla ya kuchelewa

    Kuna mapungufu makubwa sana ya kimfumo na kiutendaji hadi kwa individuals, sasa hivi hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu...wanaweza kukufanya chochote. Nashauri kabla ya Wananchi hawajaamua kujilinda dhidi ya majambazi haya ni muhimu sana hatua zikachukuliwa. Kuna siku watoto wa Polisi...
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na ndoto ya kuwa polisi ila kwa haya maoni ya wananchi juu ya jeshi la polisi HAPANA SITAKI.

    Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
  19. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania HOJA Manispaa ya Ubungo, LATRA na Jeshi la polisi usalama barabarani ondoeni bajaji njia kuu za Bunju na Morogoro road

    Wadau, hili jambo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara maeneo Bagamoyo Road na Morogoro Road. Idadi kubwa ya bajaji zinazoingia na kufanya shughuli kwenye barabara kuu, hasa maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari, imekuwa ikichangia usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara. Tatizo...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Hii ni rasmi, sasa jeshi la polisi na vyombo vingine ndani yake vimekuwa kama Gestapo ya wakati wa utawala wa kinazi huko Ujerumani

    Gestapo walikuwa ni kikosi cha siri ndani ya jeshi la polisi la serikali ya kinazi chini ya utawala wa Adolf Hitler. Kikosi hichi kiliundwa mwaka 1933 na bwana Hermann Goring kwa kukusanya vikosi mbalimbali vya wanazi wenye msimamo mkali wa kisiasa na ule wa kuchukia jamii wa wayahudi...
Back
Top Bottom