Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro.

Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la Miti Bora, wilayani Mvomero, na kusababisha vifo vya watu wanne, na ajali ya pili imetokea eneo la Mkambalani baada ya magari mawili kugongana mojawapo likiwa basi la abiria lililoteketea kwa moto.
 
Mwisho wa mwaka huu n mwendo wakulana vichwa tu..bado elninyoo aijafikaa ile nayo vichwa vyakee..

R.i.p watu
 
Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro.

Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la Miti Bora, wilayani Mvomero, na kusababisha vifo vya watu wanne, na ajali ya pili imetokea eneo la Mkambalani baada ya magari mawili kugongana mojawapo likiwa basi la abiria lililoteketea kwa moto.
Mali za chama ziko ngapi...
 
Miezi mibaya sna hii sio poa

USSR
 
Polisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.

Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.

Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.

Tuwe na moyo wa binadamu.
 
Ukiwa nao wewe inatosha, na wewe ni Polisi eeeh? Mtakufa sana awamu hii.
Na bado.
 
Back
Top Bottom