Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

Polisi mmoja ni sawa na raia 100 Kwa hesabu zao.
Kwa hyo 8×100=polisi 800.
Sio mbaya uwiano upo
Huu ni uongo kamili.Polisi mmoja hawezi kuwa sawa na watu mia moja.Ungeandika hivi; Askari polisi mmoja anahudumia watu mia moja.Huduma tu na siyo kulinganisha.
 
Back
Top Bottom