Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

Police hatoi msaada anafanya kazi yake ambayo analipwa mshaara na posho kwa ajili ya Usalama
Wa raia
huko ndo kujichanganya, sijasema polisi anafanya hisani, kama kazi ambayo polisi wanatakiwa kuja kuifanya ili kuwaokoa wao mnaithamini, kwanini yeye avunje udungu kisa watoto/ndugu wamepata ajira huko polisi?

Police wanavuna walichopanda wameweka uweledi pembeni wao wamekua kama watumwa wa wanasiasa
polisi na walimu wakilipwa mishahara midogo watu hufurahia , hawaelewi kwamba huo ni mkakati maalumu wa kupata kundi litakalofanya kazi ya namna yeyote ile, ukishajiuliza kwanini uchaguzi wanapewa kwa kiwango kikubwa kusimamia ni watumishi wa umma ndo utaelewa muktadha.

Mimi nadhani ni kutafuta kwanza mzizi wa fitina badala ya kulaumu wanaoshangilia. Mtu mwenye akili timamu akikuta mtoto analia hawezi kuanza kwa kulaumu au kumkemea mtoto kwamba asilie bali atatafuta kwanza chanzo cha yule mtoto kulia na kutafuta ufumbuzi wake.
sababu za mtoto kulia zikiwa zinabadilika kila siku humpoteza maboya muulizaji
 
Polisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.

Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.

Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.

Tuwe na moyo wa binadamu.
Uko sahih
 
Mkuu wakati upo ndani unakulana na mumeo hao polis unaowadharau ndo wanaokulinda huko barabarani..
Pua ikitokea mumeo amekuharibu marinda bahati mbaya cha kwanza ninkupigia simu Polisi..
Sasa ipo siku yatakukuta..
 
Ukiwa nao wewe inatosha, na wewe ni Polisi eeeh? Mtakufa sana awamu hii.
Na bado.
Mimi siyo Polisi lakini Naamini hata sasahivi ukibakwa,au kuibiwa simu utakimbilia Polisi,hawa watu hawakwepeki Wana umuhimu mkubwa.

Subiri siku uende lodge na mafirauni wakuingilie mfululizo,uone kama mwenye lodge hatoita Polisi waje kukusitiri Kwa tukio la kinyama ulilofanyiwa
 
😂😂😂 huyu ikifika segment ya Polisi anakuwa mnyonge, sijui nini, yeye ajue watakwisha wote. Kila polisi atafikiwa.
Siyo Polisi tu, sipendi kuona mtu akishangilia kifo waziwazi.

Kifo kinatisha, kifo kinaumiza haswa ukifiwa na mtu wa karibu,hivyo utaratibu wetu tunapaswa kuwa na huruma hata kidogo
 
Polisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.

Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.

Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.

Tuwe na moyo wa binadamu.
Unajitetea hahah kijana ipende kazi ako wacha kujitetea lkn na nyie wengi hufanya vibaya kuliko wanaofanya mema so wote mnafia humo humo
 
Unajitetea hahah kijana ipende kazi ako wacha kujitetea lkn na nyie wengi hufanya vibaya kuliko wanaofanya mema so wote mnafia humo humo
1.Mimi siyo kijana naweza kuwa Baba yako.

2.Mimi siyo Askari wa Aina yeyote ila nachukia mtu kufurahia kifo
 
Mimi siyo Polisi lakini Naamini hata sasahivi ukibakwa,au kuibiwa simu utakimbilia Polisi,hawa watu hawakwepeki Wana umuhimu mkubwa.

Subiri siku uende lodge na mafirauni wakuingilie mfululizo,uone kama mwenye lodge hatoita Polisi waje kukusitiri Kwa tukio la kinyama ulilofanyiwa
Polisi wepi hao? Hawa ambao wao wenyewe ni wezi? Matapeli? Majambazi na wauaji??

Hauko serious kabisa wee.
 
Siyo Polisi tu, sipendi kuona mtu akishangilia kifo waziwazi.

Kifo kinatisha, kifo kinaumiza haswa ukifiwa na mtu wa karibu,hivyo utaratibu wetu tunapaswa kuwa na huruma hata kidogo
Mbona wao Polisi wanaua na kuteka Raia? Unadhani wahanga hawana ndugu? Wanajisikiaje hao wafiwa?
 
Polisi mmoja ni sawa na raia 100 Kwa hesabu zao.
Kwa hyo 8×100=polisi 800.
Sio mbaya uwiano upo
 
Sioni jinsi ya kufurahia kifo cha binadamu yeyote yule , ati mradi mmetofautiana .
Askari polisi ji binadamu kama binadamu wengine, kwamba wametumika visivyo ni utashi wao wa kibinadamu na kila mtu ana nafsi yake namna ya kukabiliana na maswala ya namna ya kuishi duniani.
Mtu hazaliwi na moyo mbaya, mazingira ndiyo yanamjenga kulingana na nafasi aliyonayo katika jamii.
Mtu akitumia nafasi yake duniani vibaya dhidi ya binadamu mwingine, basi huwa kuna natural justice, au karma inayomfuata.
Nasi binadamu sehemu yetu ni kuwaombea wafanye sasawasawa kama Mungu anavyotaka.
Kufurahia kifo au vifo vya wale tusiowatakia mema duniani tunakaribisha nafsi mbaya ndani ya mioyo yetu wenyewe.
 
Mjinga utakuwa wewe unayejitoa ufahamu kwamba hujui uhasama wa policcm na raia ulianza kwenye mauaji.
Uhasama ulianzia kwenye mauaji! Yapi? Oya askari hawapendwi tokea enzi za mitume kilichopo sasa hivi ni muendelezo tu wa kizazi na kizazi. Nani huku aseme kwamba kabla ya mauaji alikuwa anawapenda mapoti. Hayupo
 
Mimi siyo Polisi lakini Naamini hata sasahivi ukibakwa,au kuibiwa simu utakimbilia Polisi,hawa watu hawakwepeki Wana umuhimu mkubwa.

Subiri siku uende lodge na mafirauni wakuingilie mfululizo,uone kama mwenye lodge hatoita Polisi waje kukusitiri Kwa tukio la kinyama ulilofanyiwa
Mwanaume habakwi mzee, tumia neno lingine shehe kwa huyo member😀
 
Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro.

Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la Miti Bora, wilayani Mvomero, na kusababisha vifo vya watu wanne, na ajali ya pili imetokea eneo la Mkambalani baada ya magari mawili kugongana mojawapo likiwa basi la abiria lililoteketea kwa moto.
Mimi huwa nafarijika sana hizi mali za CCM zikipukutika.
 
Kuna vifo vya maaskari vinaripotiwa siku za hivi karibuni kila muda,acha tuamini ni Mapenzi ya Mungu haya yanatokea!lakini ikiwa ni vinginevyo ni hatari sana kwa usalama wa raia coz inatuma ujumbe mbaya wa kiusalama hasa destabilization ya jeshi la polis

Nawaza na kuwazua
 
Polisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.

Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.

Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.

Tuwe na moyo wa binadamu.
Polisi tz sio binadamu labda kama wewe ni mmoja wao ila ki ukweli hawana ubinadamu wa utu!
 
Back
Top Bottom