kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama kipato chako kidogo na unataka kumiliki gari zingatia haya mambo 2.

    Gari ni kitu muhimu sana, ukimiliki gari kwenye hizi jamii zetu thamani yako inaongezeka. Na thamani yako ikiongezeka na pesa zitaongezeka. Pesa ni thamani na si makaratasi. Ndio maana unaweza kumlala MDADA ukampa 20k tzs na ukalala na mwingine ukampa 200k tzs. It's because of the value. CCM...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia kidogo

    Mwaandaji. SOKA, HJ, 0718478250. Mahakama kuu ya Gambia imemuhukumu adhabu ya kifo mkuu wa idara ya usalama wa taifa wa zamani wa Gambi pamoja na wakurugenzi wengine wanne wa idara ya usalama wa taifa. Wote watano wamehukimwa kunyongwa hadi kufa kwa kumteka kiongozi wa chama Cha upinzani kwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

    WATU WANNE KWENYE MAISHA YAKO KAMWE HUTAKIWI KUWAAMINI HATA KIDOGO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leo sina kelele sana. Nimechoka na vijana wanaonisumbua kwenye biashara. Hata hivyo haya hayawahusu. Watu ambao hutakiwi kuwaamini hata kidogo; 1. Wanasiasa. Hawa ndio vinara. Hawa aiseeh...
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

    Kuna stori leo nataka nishee nanyi. Kuna mamdogo wangu (true stori) aliolewa na mtu mwenye hela zake. She was indeed a charming woman. Na alipo olewa ndipo alizidi ku glow, maisha yalienda vyema sana kwake. Ilikuwa familia yenye Furaha tele, Ila ndugu upande wa mwanaume walitokea...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Gari lenye muonekano wa Kisasa, Mafuta Kidogo, Service Kidogo, Reliable Basi Chukua Nissan Note E13 (e-Power)!

    Tuachane na Hybrids za Prius, Fit, nk. Ukitaka stress free, kagari flani ka misele ya mjini, basi ishi humu. Ni Nissan Note ya kuanzia mwaka 2021/22. Najua uzuri ni subjective, kila mtu ana vigezo vyake, ila at least tutumie neno muonekano wa Kisasa. Kwanini nasema reliable? Ukifananisha...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kidogo 🤒

    Je, wanaume waoaji wenye malengo ya kuanzisha familia wameisha? Je, soko la wanaume wasiochezea wanawake na kuwazalisha limekuwa gumu? Nachelea kuamini waoaji wameisha. Ingawa hakuna anayelazika kuoa, na watu wana sababu mbalimbali za kuamua kutokuoa, bado wanaume wenye malengo ya kuanzisha...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu kuhusu viongozi wa Chadema ni tofauti kidogo!!

    Sijuani hata na mmoja wao, hata kwa sura tu sijawahi kuwaona live. Nipo upande wao kwa sababu mara zote mimi nipo upande wa kundi linaloonewa. Huu msimamo wangu popote pale. Naumizwa sana na anayopitia Mh. Tundu Lissu gerezani. Nimekuwa nikimuombea sana. Naumizwa sana na hawa wengine...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo

    Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo
  9. min -me

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

    Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha . Vijana wengi huishia tu kuwa watu wa usiku mmoja , kwa kuogopa kuingia mkenge na sio kwamba ni wakataa ndoa🤔 Wadada wengi siku hizi wameweka vipaumbele vyao vya pesa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ninazozipenda ijapokuwa kipato chake ni kidogo sana

    1. Msoma adhana 2. Mwalim wa madrasa Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi. Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  12. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

    Bwana nyie wakuu habari zenu, nimekutana na scennario moja very very funny japo ni serious kwa upande mwingine. Katika makujumu yangu ya hapa na pale, nika come accross mteja, ambaye mimi pasipo kukusudia nikajikuta tume exchange numbers. Ni juzi juzi tu kama wiki 2 zimepita ambapo mpaka...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

    I salute you kinsmen. Kuna kasumba imekuwa kubwa taratibu sana, nahisi hali hii TCU ndio wameleta Sikuhizi wanafunzi wamekuwa wengi na ufaulu nao umeongezeka sana Maelfu wanamaliza form six kila mwaka na wote wanataka kwenda chuo. Sasa TCU kama baba wa vyuo vyote na mlezi Anaruhusu vipi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kumradhi! Kuna changamoto kidogo

    Kila nikijaribu kuload next page kwenye uzi napata hii message " Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" Ni mimi tu au waTanzania wote?
  15. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

    Aligonga mlango 🚪 Sikusema kitu🙁 Aliisukuma na kuingia ndani, Sikusema kitu🙁 Aliingia chumbani, Sikusema kitu🙁 Alikaa karibu yangu kwenye kitanda changu,Sikusema kitu🙁 Alitabasamu , nikaendelea kunyamaza, akanichombeza🙁 Alijivua nguo, Sikusema kitu🙁 Ananivua shati, Sikusema kitu🙁 Alinibusu sana...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waarabu hawana us taarabu hata kidogo huko Judaea & Samaria!!!

    Mwarabu mmoja huko Yudea na Samaria Ana mwaga maji machafu na kinyesi mtoni kwa majivuno na hata kujirekodi akifanya hivyo. "Wapalestina" wanahusika na aina zote za ugaidi. Wanaharibu kila kitu wanachokigusa. Huu ni Ugaidi wa mazingira!!!
  17. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kuna kitu kidogo tu hapa…

    Hii dunia ina mambo sana. Kuna watu ukimkuta mtu hana kitu leo, wanajiona kama Mungu amewapa cheo cha kuwa majaji wa maisha ya wengine. Mtu akija hapa na kusema nina changamoto, badala ya kuangalia hoja yake, comment ya kwanza: "KAKA PAMBANA." Mwingine: "TAFUTA KAZI." Mwingine: "SI UZA...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tupate wadhamini kidogo

  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Melo aendelee kupewa maua yake kwa privacy zetu. Wengine si wa kuamini. Roma katofautiana kidogo mawazo na Mange, kamtisha kum-report wam-deport

    “Tukipishana mawazo na makada wa CCM wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!! Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!” Hapo kuna tofauti gani sasa? Hii mambo ya kujifanya tuna hati miliki ya mawazo inatesa sana nchi hii, kupishana...
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

    Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories... La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana . Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri...
Back
Top Bottom