Kuna bar moja nilikua nakula bata siku sio nyingi , meza ya jirani walikua wamekaa wadada wa tatu kiumri ni kati ya 28 mpka 35 ni wazuri na warembo pia .
Nipo nakula zangu bia polepole na vibe la kubambia , si unajua tena ,live bandš
Ila jicho langu kwa mrembo mmoja Black beut mpole kwenye vile viti vya wadada watatu .
Nikaona nile pombe, vizuri halafu niwatokee kibabe š
Nikawafuata na wao wakaitikia jaman mkaka una vibe sana mda tu tulitamani tujumuike pamoja , hapo walijibu wawili walevi na sio yule mmoja niliye mkubali mnywa soda tu š¤£
Nikaagiza pombe na soda ya yule mmoja , tukawa tunapiga stories , tukalewa isipo kua yule mmoja
Baada ya ule ulevi wale wawili na mimi tukanyanyuka nao nikawa na cheza nao , kubambiana sio poaš
Wakaomba watoke ila wanataka namba zangu nikachukua za wale wawili ,kale ka moja kakaleta nyodo š¤£
Wakasepa nikala zangu tungi nikasepa , kesho yake wale wawili wakanitafuta eti mandevu yule mwenzetu kakuzimia š
kimoyo moyo nikasema yesssš
Kumtafuta akadai ana mtu wake , ila mwenye pesa nyingi atakula nyama kwa wakati , nilichoka kabisa na malengo yangu yalikua awe mke kabisaš¤£
Stories hii nimefupisha kwa sababu naona vodka nayo imepandaš¤£š¤£
Hukutaka kula nyama kwa wakati?????
Sasa mimi kuna muda ilifika nahitaji kuolewa lakini sikuwa na mwanaume wa kunioa japo nilikuwa na li sugar daddy.
Basi kuna siku tukasafiri na rafiki yangu wa kike tunatoka mkoa mmoja, jioni tukatoka out!!! si unajua dada yako napenda vya bureee!!!!
Tukaambizana na shoga angu twende mtaa fulani lazima tupate mtu wa kutununulia. basi kweli tukaingia kwenye hicho ki grocery cha dada asha.. bwanaeee si akaja mkaka nakwambia mimi simjui lakini alikuwa ni rafiki wa kaka yake na shoga angu!.
Akatupiga mi tusker pale na nyama akatuagia tukanywa sana na tax akaita tukaondoka.....
Kesho yake akatuita twende kuzimua!! nakwambia tukashinda bar mpka usiku wa manane akaturudisha nyumbani.
Basi mi nikaanza kuhisi kumpenda na kumbe yeye alikuwa keshanizimia!!!! siku ya tatu nikajipanga nikasema huyu asinitanie sina muda wa kukaa huku huyu inabidi leo avunje mwiko mambo mengine yafuate!!!
Basi siku hiyo nikajiweka ki romantic nakwambia tukanywa pale bia zikawa zinakuja mfululizo jamaa haongei sana!. na mm binafsi sipendi mwanaume anaye ongea sana.
Ikafika mida kama ya saa 6 rafiki yangu akainuka kwenda kukojoa jamaa akaniambia leo tunaenda kulala wote!! sikujibu nikatabasamu jamaa akaelewa. imefika mida akaita tax tukaondoka kufika kwao na rafiki yangu sikujisumbua hata kutikisika!! ndo kwanza nikakaa vizuri siti ya nyuma.
Jamaa akanipeleka kwake alipokuwa anaishi!! aisee siku hiyo ni siku ambayo sitaisahau mpaka kesho!! tulifanya mapenzi kama watu tunaojuana halafu alikuwa na vitu ninavyohitaji........
Basi ikawa ni mchezo wa kufanya matusi kila siku kwa muda wa wiki mbili tulizokaa hapo!!!
Jamaa alipagawa na mimi pia,, basi ikawa ni kila baada ya wiki mbili lazima tuonane!!!! nilimpa mahaba mpaka akahama hiyo sehemu akanifuata..
jamaa alikuwa na mchumba wake nilifanikiwa kuwaachanisha na akanioa na ndio tuko mpaka leo.
Nimesimulia hii kwa sababu ya story yako!!! uliogopa tu kwa huyo mnywa soda ungeweza kabisa kupindua meza na akawa wako.