"Kwahiyo 2026 kukaa unawaza kuna mwanamke anaweza kukupenda tu bila sababu yoyote ni dalili bado hujakua "
Kwa hiyo hao wenye afya ya mwili wanao kimbiwa hawana afya ya akili? Hiyo research yako umeifanya based on kitu gani, mwanamke wa sasa hivi akiamua lake hamna wa kumzuia, ndio maana wengi wao, hasa akiwa kwenye ubora/uzuri/usichana wanapenda kudate na wahuni/playboy, kuliko wale good boys.
Kama sababu moja wapo ya kupendwa ni hela basi ujiandae na kupigwa matukio, hii ni real ndio maana hata hizo ndoa zenyewe hazidumu siku hizi sababu ya kuuziana ngono kwenye ndoa.Hiyo post ni habari ya juzi kutoka kwenye gazeti la mwananchi. Ndio inapande mbile upande wa furaha na maumivu ambaye huitaji hustaimilivu,kama umependewa hela basi huyo mwanamke nyakati ngumu ana asilimia kubwa ya kukuacha.
View attachment 3692244
Upendo wa Agape upo japo kwa kizazi hiki upo kwa wachache, ila upo na ndio huja kujenga mahusiano na ndoa iliyo imara.