Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

Wanaume walio makini wengi tu wamepata watu sahihi kabisa.
naamini kabisa kuna kundi kubwa linalofurahia maisha.

Lakini kuna hawa wanaojitoa ufahamu matukio yanawalamba vizuri tu.

Kutonongelea wanawake unakosea sana, mi Kuna demu namfaham ni binti mdogo tu ana washkaji kama wanna na wote wanasubiria ndoa, sasa akitokea kijana mMoja wa hao vijana ni mvuta bangi unafahamu kinacho enda kutoka mbeleni kwa huyo demu huyu ataumizwa tu alafu vijana wenyewe ndio hawa na kibaya wanatafuta hela kwa shida nae anawachuna mmmmh Huwa nawaangalia nanyamaza tu
 
Sasa hapo hakuna atakaye oa huyo binti hata mmoja.

Siku zote mwanamke anaolewa kwa sababu kataka kuolewa na mwanaume huwa anaoa kwa presha ya wazazi au umri.
Iko hivi binti au mwanamke akitaka kuolewa ataacha yote na kuwa perfect iwe kwa kuigiza au uhalisia. sasa mwanaume ataona hapa nina perfect woman ataoa bila kipingamizi chochote!.
sisi wanawake tuna macho yetu ya kuona mwanaume kiundani zaidi na kumjua. sasa basi huyo binti hana tatizo lolote hapo maana zamani tuliambiwa you have to kiss a hundred frogs untill you get the right one.
 
Mwanaume jua unachokitaka na ukikipata uwe na uwezo wa kumfanya mwenza wako akae.
Hapa umekutana na mtu labda mmekulana kimasihara jaribu kuangalia je huyu ana vitu vyangu?? kama ana vitu vyako kaa hana sepa.

Epuka ile kuweka vigezo vingi katika akili yako.

Uvumilivu uwepo katika kuvumilia kwani hapa duniani kila mmoja ana kasoro zake na huwezi kuzibadilisha zaidi tu inakupasa ujue je nitaweza kuishi nazo kama unaweza kuishi nazo kaa huwezi sepa.
Nyie wanaume mmejaaliwa akili za utulivu!! ukiweka utulivu wa akili kwenye mambo yako yote hakuna kitakachokukwamisha.
Safi sana
 
Sasa hapo hakuna atakaye oa huyo binti hata mmoja.

Siku zote mwanamke anaolewa kwa sababu kataka kuolewa na mwanaume huwa anaoa kwa presha ya wazazi au umri.
Iko hivi binti au mwanamke akitaka kuolewa ataacha yote na kuwa perfect iwe kwa kuigiza au uhalisia. sasa mwanaume ataona hapa nina perfect woman ataoa bila kipingamizi chochote!.
sisi wanawake tuna macho yetu ya kuona mwanaume kiundani zaidi na kumjua. sasa basi huyo binti hana tatizo lolote hapo maana zamani tuliambiwa you have to kiss a hundred frogs untill you get the right one.
Kiss a hundred frogs untill you get the right one😁
 
Kosa kubwa moja unalofanya ni kwenda kutafuta mwanamke sahihi. Kwanini utafute? (scarcity mindset).

Unatakiwa uwe bize na kazi zako na maisha Kisha mwanamke sahihi atakuja mwenyewe siyo wewe kwenda kumtafuta

Kosa la pili ni kutafuta mwanamke sahihi. Hakuna mwanamke sahihi, mwanamke yoyote uliyenaye ni kivuli chako (your reflection), huyo uliyenaye sasa ni matokeo ya jinsi wewe ulivyo. Kwahiyo kabla hujaenda kutafuta mtu sahihi hakikisha kwanza wewe mwenyewe ni mtu sahihi kwanza kwa vigezo vyote.

Kosa la tatu wanaume wengi zaidi ya asimia 80 hawajui namna ya kushiriki tendo la ndoa kikamilifu, wanaume wengi sana hawajui kugonga mwanamke kama inavyotakiwa, wengi Wanafikiri movie za wakubwa zinatosha kuwafundisha kumbe ndiyo zinawapotosha zaidi
Hapo kwenye kugonga hapo? Kuna mademu anamuacha mtu wake yupo fit mwili umejengeka, jitu la mazoezi anaenda kutembea na mtu ana bonge la tambi hatua tatu yupo hoi. Kuchoshana demu mwenyewe hujamkuta bikra, hujui wamepiga wangapi,hujui pumzi yake.

Hiyo ya kusema sijui fanyakazi demu atakuja mwenyewe, kuwa makini mademu wengi wakikuona unahela watapretend kukupenda. Njia sahihi japo hatuikubali sana ni ile ya kutafutiwa na wazee/watu wazima au watu wako wa karibu.Wanawake hawa wa kuokotana okotana hawaeleweki, huijui familia yake, huzijui tabia zake, huijui past yake, huwajui watu wake wa karibu watakao kusaidia kukufanyia vetting kabla hujamposa, tunaona tu kwa kubahatisha.
 
Sasa hapo hakuna atakaye oa huyo binti hata mmoja.

Siku zote mwanamke anaolewa kwa sababu kataka kuolewa na mwanaume huwa anaoa kwa presha ya wazazi au umri.
Iko hivi binti au mwanamke akitaka kuolewa ataacha yote na kuwa perfect iwe kwa kuigiza au uhalisia. sasa mwanaume ataona hapa nina perfect woman ataoa bila kipingamizi chochote!.
sisi wanawake tuna macho yetu ya kuona mwanaume kiundani zaidi na kumjua. sasa basi huyo binti hana tatizo lolote hapo maana zamani tuliambiwa you have to kiss a hundred frogs untill you get the right one.
Mnge kua na macho ya kujua huyu muoaji au huyu mtawrzana kusinge kua na kundi kubwa la single mother nyumba nilio kua naishi mwanaume tuliokua wawili tu nyumba nzima the rest ni wanawake na Binti na wote wana watoto cha kuchekesha hakuna mwenye mume hata mmoja wote single mothers
 
Alafu uncho shindwa kujua ni kua katika hao wanaume wanna wote au watatu lazima wanamkunja sasa unapo sema wasimuoe ilihali washa mvua nguo ya ndani na uke wameuona hapo lengo ni lipi
 
Mnge kua na macho ya kujua huyu muoaji au huyu mtawrzana kusinge kua na kundi kubwa la single mother nyumba nilio kua naishi mwanaume tuliokua wawili tu nyumba nzima the rest ni wanawake na Binti na wote wana watoto cha kuchekesha hakuna mwenye mume hata mmoja wote single mothers
Sasa kuwa single mama ni dhambi????

Unataka binti awepo kwenye mahusiano asiyo jua yanahusiana na nini kisa ndoa???
msichana avumilie dharau manyanyaso masimango kisa wewe umuone kaolewa???
 
Hapana nacho Manisha ni kua unakosea kusema mwanamke an jicho la kutambia mwanaume sahihi hiyo ni zamani sio sasa, nenda Arusha ukaone mabinti date zao zilivo na wanachomwa bisi Kila siku, mpaka unajiuliza hivi huyu Binti kipindi ana tongozwa na huyu kijana hakukia ni mtu wa aina Gani, nacho lalamika ni kipi? Hakuna mwenye jicho la kuona mume vifi visinge kuwepo dada inshu ni ujuaji
 
Hapo ulipo hujawahi kuvulia nguo mtu???
m
Leo dada Binti mjanja ni yule anae subiri mume wake auone uchi wake vinginevyo, ni umalaya tukubaliane, ukienda kwenye KABILA LETU Binti bikra ana thamani kuliko used, ukijulikana we ni bikra gharama inaweza fika hata ng'ombe 30 lakini ikifahamika usha kunjwa na wana huko ngumu
 
Hapana nacho Manisha ni kua unakosea kusema mwanamke an jicho la kutambia mwanaume sahihi hiyo ni zamani sio sasa, nenda Arusha ukaone mabinti date zao zilivo na wanachomwa bisi Kila siku, mpaka unajiuliza hivi huyu Binti kipindi ana tongozwa na huyu kijana hakukia ni mtu wa aina Gani, nacho lalamika ni kipi? Hakuna mwenye jicho la kuona mume vifi visinge kuwepo dada inshu ni ujuaji
wewe ni ke
 
Sasa nafuu uwe umefanikiwa hata kidogo ndo uyaendee mahusiano,ikiwa huna kitu maumivu huwa yanakuwa mara mbili zaidi.utachapiwa na kisingizio ni hutimizi majukumu yako.

Wanaume ni binadamu wenye hisia kama wengine,wanaumia pia.lakini kuna kitu lazima tukubaliane mwanaume hatakiwi kuendeshwa na hisia.haijalishi unaumia kiasi gani maamuzi ya maisha yako lazima yafanywe kwa kutumia akili.

Niliwahi pitia vipindi ambavyo nikikaa ndani ni kulia vya kutosha ila nikiwa nje natakiwa nifanye kazi,nina watu wananiangalia.vipi nikionyesha madhaifu yangu kwao,wao watamtegemea nani?...Mwisho wa siku ni kuhuzunika huku unaendelea na maisha mengine hata wakati ambao inaonekana haiwezekani inabidi iwezekane tu.
 
Kuna bar moja nilikua nakula bata siku sio nyingi , meza ya jirani walikua wamekaa wadada wa tatu kiumri ni kati ya 28 mpka 35 ni wazuri na warembo pia .

Nipo nakula zangu bia polepole na vibe la kubambia , si unajua tena ,live band😅

Ila jicho langu kwa mrembo mmoja Black beut mpole kwenye vile viti vya wadada watatu .

Nikaona nile pombe, vizuri halafu niwatokee kibabe 😅

Nikawafuata na wao wakaitikia jaman mkaka una vibe sana mda tu tulitamani tujumuike pamoja , hapo walijibu wawili walevi na sio yule mmoja niliye mkubali mnywa soda tu 🤣

Nikaagiza pombe na soda ya yule mmoja , tukawa tunapiga stories , tukalewa isipo kua yule mmoja

Baada ya ule ulevi wale wawili na mimi tukanyanyuka nao nikawa na cheza nao , kubambiana sio poa😅

Wakaomba watoke ila wanataka namba zangu nikachukua za wale wawili ,kale ka moja kakaleta nyodo 🤣

Wakasepa nikala zangu tungi nikasepa , kesho yake wale wawili wakanitafuta eti mandevu yule mwenzetu kakuzimia 😅 kimoyo moyo nikasema yesss😅

Kumtafuta akadai ana mtu wake , ila mwenye pesa nyingi atakula nyama kwa wakati , nilichoka kabisa na malengo yangu yalikua awe mke kabisa🤣

Stories hii nimefupisha kwa sababu naona vodka nayo imepanda🤣🤣
🤣🤣Mwenza umpate Bar & Lounge au Night club ,Hujitaki wewe
 
Back
Top Bottom