leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Naona unawaongelea ke kana kwamba unawajua sana?Hapana mi ni me,
Naona unawaongelea ke kana kwamba unawajua sana?Hapana mi ni me,
kwa hiyo ke ana bikra ngapi?Mwanaume hana bikra ila demu anayo
Sahii kabisa. Nimemuwezesha kulingana na kipato changu.Umeshahalalisha ? (Ndoa).
kama uwezo upo. Muwezeshe huyo mwanamke. Ni assert mbeleni.
Amekuvumilia vya kutosha.
Anastahili
Tunayaona kwani we huoni wanacho Fanywa? Yapo kwenye jamii zetu hao unaongelea ni wale wa zamani hawa wa sasa tia maji mhuni twende mlevi twendeNaona unawaongelea ke kana kwamba unawajua sana?
Moja tu hukuona yule demu wa chuopaka akapewa jina mlango wa Hormuz🤣🤣🤣🤣kwa hiyo ke ana bikra ngapi?
na inatakiwa kutolewa na me wangapi?
Hakuna mwanamke mwenye mlango sijui wa nini!! mwanamke ana uchi na ukiuona maumbile yake makubwa jua cha kwako ni ki penseliMoja tu hukuona yule demu wa chuopaka akapewa jina mlango wa Hormuz🤣🤣🤣🤣
kwenye jamii hii ambayo yote ni ya ovyo halafu lawama apeww ke peke yakeSi
Tunayaona kwani we huoni wanacho Fanywa? Yapo kwenye jamii zetu hao unaongelea ni wale wa zamani hawa wa sasa tia maji mhuni twende mlevi twende
Basi SISI sote changamoto tupu ma mkwe, ila mi jambo la mwanao endelea kunifikiria Niko njema Sina longolongo leo dada nakuahidikwenye jamii hii ambayo yote ni ya ovyo halafu lawama apeww ke peke yake
Mwanangu sio level zako!Basi SISI sote changamoto tupu ma mkwe, ila mi jambo la mwanao endelea kunifikiria Niko njema Sina longolongo leo dada nakuahidi
Ndiyo, Unaweza kuwa fiti kimwili na kitandani, yaani una afya nzuri kama ulivyoeleza ila ukawa ni mtu usiye na akili kichwani, domo lako linatoa malalamiko tu muda wowote, kwa kifupi kuwa na afya nzuri kimwili bado haitoshi, unatakiwa uwe na afya nzuri kimwili na kiakiliHapo kwenye kugonga hapo? Kuna mademu anamuacha mtu wake yupo fit mwili umejengeka, jitu la mazoezi anaenda kutembea na mtu ana bonge la tambi hatua tatu yupo hoi. Kuchoshana demu mwenyewe hujamkuta bikra, hujui wamepiga wangapi,hujui pumzi yake.
Hiyo ya kusema sijui fanyakazi demu atakuja mwenyewe, kuwa makini mademu wengi wakikuona unahela watapretend kukupenda. Njia sahihi japo hatuikubali sana ni ile ya kutafutiwa na wazee/watu wazima au watu wako wa karibu.Wanawake hawa wa kuokotana okotana hawaeleweki, huijui familia yake, huzijui tabia zake, huijui past yake, huwajui watu wake wa karibu watakao kusaidia kukufanyia vetting kabla hujamposa, tunaona tu kwa kubahatisha.
Vizuri lakini hapo mwisho umeharibuKosa kubwa moja unalofanya ni kwenda kutafuta mwanamke sahihi. Kwanini utafute? (scarcity mindset).
Unatakiwa uwe bize na kazi zako na maisha Kisha mwanamke sahihi atakuja mwenyewe siyo wewe kwenda kumtafuta
Kosa la pili ni kutafuta mwanamke sahihi. Hakuna mwanamke sahihi, mwanamke yoyote uliyenaye ni kivuli chako (your reflection), huyo uliyenaye sasa ni matokeo ya jinsi wewe ulivyo. Kwahiyo kabla hujaenda kutafuta mtu sahihi hakikisha kwanza wewe mwenyewe ni mtu sahihi kwanza kwa vigezo vyote.
Kosa la tatu wanaume wengi zaidi ya asimia 80 hawajui namna ya kushiriki tendo la ndoa kikamilifu, wanaume wengi sana hawajui kugonga mwanamke kama inavyotakiwa, wengi Wanafikiri movie za wakubwa zinatosha kuwafundisha kumbe ndiyo zinawapotosha zaidi
Wapi hasa nikupe ufafanuziVizuri lakini hapo mwisho umeharibu
Wapi hasa nikupe ufafanuzi
Kwenye kushiliki tendo. Lakini sio kwamba umekosea kusema hivyo kwani akishakuwa mtu sahihi sizani kama mambo ya sex yanaushawishi wa kuhalibu mahusiano yenuWapi hasa nikupe ufafanuzi
Sex ina mpaka asilimia 90 ya ndoa yenu. Sex isipohudumiwa vizuri pande zote mbili hakuna ndoa hapoKwenye kushiliki tendo. Lakini sio kwamba umekosea kusema hivyo kwani akishakuwa mtu sahihi sizani kama mambo ya sex yanaushawishi wa kuhalibu mahusiano yenu