Wewe Kuwa bize tu na kazi na maisha yako. Wanawake watakuja tu wenyewe wakiona upo bize na yako na huna habari naoNashukuru kwa mchango wako bwashee ila mimi ni mtanzania siamini kwenye kushindwa
Nahisi huyo ndio alikuwa wako wa maisha.Hata mama wa binti yangu nilikutana nae kipombe na yeye ndio mwanamke mpaka sasaa namkubali japo tulipeana talaka ya kipumbavu sana tena kwakiburi changu , ila baada ya kuachana akaolewa ila hata hapa ninapongea anaelewa mimi ni mtu wa namna gani .
Nisikufiche tu mama wa binti yangu nae ni member wa jf wala hajawahi nipinga wala kunichukia humu , hapo naweza mzungumzia kwa ubaya, ila akajishikilia tu🤣🤣
Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha .
Nikiwa form five nilimdungua mimba mtoto wa watu, nikasusiwa mimba na mtoto wao. Sasa ni mwaka wa 16 nipo naye, dogo hana mawenge sema mawenge namletea Mimi.
Na huu ndio uhalisia 100%. Wakukupinga watakupinga ila ukweli utabaki kuwa hivi.Siamini tena kama mtu sahihi unaweza mpata ukiwa kwenye hali nzuri au angalau kiuchumi
Bwashee wewe utavuka vipi vigezo vya uzuri kama mwanaume, hapa tuache unafki🤔Niko tofauti na ww.
Wanawake loyal wako wengi tu.
tena sana.
Ni namna ya wewe mwanaume mwenye wadhifa kutuliza kichwa na kuchagua.
Ukiendekeza nyege. Ukasema unataka ukojoe pazuri wakat ww ni wasira, ukaoa mrembo kisa tu una hela.
Niamini ndoa itakuwa chungu kwa miaka yote michache utakayojaliwa kuishi na huyo mwanamke.
Mwanaume jitathimini, tuliza akili na ndio uoe.
usiangalie matako na sura nzuri, utalia kama ambulance huko mbeleni pindi wadhifa ukipungua.
Na pia na Sisi tutulie. Vingne tunajitakia. Umeshaoa . Mwanamke ametulia alafu na ww unamletea vibwanga. Atakuzingua tu one day.
Na kama asipokuzingua, hatakuonyesha ila atakuwa na wapenz wake pembeni.
Kuna bar moja nilikua nakula bata siku sio nyingi , meza ya jirani walikua wamekaa wadada wa tatu kiumri ni kati ya 28 mpka 35 ni wazuri na warembo pia .
Nipo nakula zangu bia polepole na vibe la kubambia , si unajua tena ,live band😅
Ila jicho langu kwa mrembo mmoja Black beut mpole kwenye vile viti vya wadada watatu .
Nikaona nile pombe, vizuri halafu niwatokee kibabe 😅
Nikawafuata na wao wakaitikia jaman mkaka una vibe sana mda tu tulitamani tujumuike pamoja , hapo walijibu wawili walevi na sio yule mmoja niliye mkubali mnywa soda tu 🤣
Nikaagiza pombe na soda ya yule mmoja , tukawa tunapiga stories , tukalewa isipo kua yule mmoja
Baada ya ule ulevi wale wawili na mimi tukanyanyuka nao nikawa na cheza nao , kubambiana sio poa😅
Wakaomba watoke ila wanataka namba zangu nikachukua za wale wawili ,kale ka moja kakaleta nyodo 🤣
Wakasepa nikala zangu tungi nikasepa , kesho yake wale wawili wakanitafuta eti mandevu yule mwenzetu kakuzimia 😅 kimoyo moyo nikasema yesss😅
Kumtafuta akadai ana mtu wake , ila mwenye pesa nyingi atakula nyama kwa wakati , nilichoka kabisa na malengo yangu yalikua awe mke kabisa🤣
Stories hii nimefupisha kwa sababu naona vodka nayo imepanda🤣🤣
Taasisi ya ndoa imekwisha kufa hususani kwenye jamii zilizopokea na kuuenzi utandawazi, tukubaliane na mabadiliko ya ulimwengu.
Mahusiano mengi yamehamia kwenye miamala tofauti na hapo awali, pia upatikanaji wa wanaume kwa wanawake umekuwa rahisi kupitiliza, supply ya ngono imekuwa kubwa kuliko demand
Bwashee wewe utavuka vipi vigezo vya uzuri kama mwanaume, hapa tuache unafki🤔
Hebu fafanua kidogo tu hapa mkuuKosa la tatu wanaume wengi zaidi ya asimia 80 hawajui namna ya kushiriki tendo la ndoa kikamilifu, wanaume wengi sana hawajui kugonga mwanamke kama inavyotakiwa, wengi Wanafikiri movie za wakubwa zinatosha kuwafundisha kumbe ndiyo zinawapotosha zaidi
Nyie chichagueni bwashee mkijipata mniweke na mimi🤣🤣🤣
Ndio maana sitaki mlokole , walokole ni wapumbavu tu bora nipate walevi wenzangu tu bwasheeKuna kipind mwanamke anapitia msoto.
Hadi anajiona ana gundu. Kapiga goti sana kwa Mungu. Akateleza na hadi kwa waganga kaenda.
Katulia kidogo. Mara paapu. Kajamaa kama Mbaga Jr keusi kana kakitambi kake anatokea ana hela zake.
Amemuhakikishia mdada hela ya kodi , Kula na biashara Na kagar kadogo kama IST kampa.
Unafikiri mdada atachomoa hapa? 😊😊😊.
Lakini. Shida sio mdada.
maana mdada alishajiandaa kupokea muujiza.
Shida ni aliyemfuata mdada ,
Mbaga akaona haya mapenz sijawah kupewa. Ni ya sayar ya mars, akazama kweli.
Ila sasa aftermath. Bidada hakuwa amempenda Mbaga..alipenda hela za mbaga. Hela zikikata.
Nani wa kulaumiwa?.
Huu ni mfano halisi kabisa wa jamii yetu.