Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

Wanaume walio makini wengi tu wamepata watu sahihi kabisa.
naamini kabisa kuna kundi kubwa linalofurahia maisha.

Lakini kuna hawa wanaojitoa ufahamu matukio yanawalamba vizuri tu.
Hakuna cha umakini kwa sababu hakuna mwenye X-ray machine ya kuumulika moyo wa mtu!

ZABURI 127
1 Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
 
Ndio maana sitaki mlokole , walokole ni wapumbavu tu bora nipate walevi wenzangu tu bwashee
Walevi waduanzi sana.

Ila kwenye kufanya mapenz wanakupa 100% ya waliyonayo .
Na Kama unaona haitoshi unamuelekeza ww kuongezea na kitu mukide kabisa😊😊😊😊.

Ila mke hatakiwi kuwa mlevi meku.
 
Kuna kipind mwanamke anapitia msoto.
Mwanamke ni mzuri ila Hadi anajiona ana gundu.

Kapiga goti sana kwa Mungu. Akateleza na hadi kwa waganga kaenda.

Katulia kidogo. Mara paapu. Kajamaa kama Mbaga Jr keusi kana kakitambi kake ila ana hela zake.

Amemuhakikishia mdada hela ya kodi , Kula na biashara ndogo Na kagar kadogo kama IST kampa.
Unafikiri mdada atachomoa hapa? 😊😊😊.

Lakini. Shida sio mdada.
maana mdada alishajiandaa kupokea muujiza kwa yoyote anayeletwa na Mungu.

Shida ni aliyemfuata mdada ,
Mbaga anajua kabisa Levels sio zake. Ila Mbaga akaona haya mapenz sijawah kupewa ngoja azamie. Maana mapenzi ni ya sayar ya mars, na akazama kweli.

Ila sasa aftermath. Bidada hakuwa amempenda Mbaga..alipenda hela za mbaga. Sasa Hela zikikata.

Nani wa kulaumiwa?.
Huu ni mfano halisi kabisa wa jamii yetu.
Tuachane na mambo ya kitambi, keusi.

Mm kilichoniuma kwenye h comment n hapo kwenye pesa tuu 😭

Mkuu, mchana umepita bila kuona chakula afu ww unaniletea mambo ya kumlisha na kumlipia mtu kodi, kweli mkuu? 😂
 
Tuachane na mambo ya kitambi, keusi.

Mm kilichoniuma kwenye h comment n hapo kwenye pesa tuu 😭

Mkuu, mchana umepita bila kuona chakula afu ww unaniletea mambo ya kumlisha na kumlipia mtu kodi, kweli mkuu? 😂

Pole mwanetu.

kama nakumbuka ulisema uko Kinondon studio stationary au nakosea?.

Wanaume tunakula mara moja tu.
Saa 5 asubuh tunakula Chapati 3 na maharage.
2k hiyo.

NB.
Bado hujapata mishe?.
Alafu kama una bet achana nayo.
Ndio inakufanya uwe mvivu zaid.
 
Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha .

Vijana wengi huishia tu kuwa watu wa usiku mmoja , kwa kuogopa kuingia mkenge na sio kwamba ni wakataa ndoa🤔

Wadada wengi siku hizi wameweka vipaumbele vyao vya pesa wazi ( sio vibaya kabisa) japo hili limesababisha vijana nao wawe na vipaumbele vyao ambavyo kiuhalisia ni vya kujihami sana kisaikolojia 🤔

Ndio maana leo ni rahisi sana kushuhudia ukatili kwenye ndoa na mahusiano 🤔

Tunapowalea watoto wetu tusisahau kuwafundisha kuishi kwa akili sana kwenye dunia hii amboyo kimahusiano imeshavaa pensi.View attachment 3691166
Kwanza kabisa, si lazima.
 
Hukutaka kula nyama kwa wakati?????

Sasa mimi kuna muda ilifika nahitaji kuolewa lakini sikuwa na mwanaume wa kunioa japo nilikuwa na li sugar daddy.
Basi kuna siku tukasafiri na rafiki yangu wa kike tunatoka mkoa mmoja, jioni tukatoka out!!! si unajua dada yako napenda vya bureee!!!!
Tukaambizana na shoga angu twende mtaa fulani lazima tupate mtu wa kutununulia. basi kweli tukaingia kwenye hicho ki grocery cha dada asha.. bwanaeee si akaja mkaka nakwambia mimi simjui lakini alikuwa ni rafiki wa kaka yake na shoga angu!.

Akatupiga mi tusker pale na nyama akatuagia tukanywa sana na tax akaita tukaondoka.....

Kesho yake akatuita twende kuzimua!! nakwambia tukashinda bar mpka usiku wa manane akaturudisha nyumbani.

Basi mi nikaanza kuhisi kumpenda na kumbe yeye alikuwa keshanizimia!!!! siku ya tatu nikajipanga nikasema huyu asinitanie sina muda wa kukaa huku huyu inabidi leo avunje mwiko mambo mengine yafuate!!!
Basi siku hiyo nikajiweka ki romantic nakwambia tukanywa pale bia zikawa zinakuja mfululizo jamaa haongei sana!. na mm binafsi sipendi mwanaume anaye ongea sana.
Ikafika mida kama ya saa 6 rafiki yangu akainuka kwenda kukojoa jamaa akaniambia leo tunaenda kulala wote!! sikujibu nikatabasamu jamaa akaelewa. imefika mida akaita tax tukaondoka kufika kwao na rafiki yangu sikujisumbua hata kutikisika!! ndo kwanza nikakaa vizuri siti ya nyuma.

Jamaa akanipeleka kwake alipokuwa anaishi!! aisee siku hiyo ni siku ambayo sitaisahau mpaka kesho!! tulifanya mapenzi kama watu tunaojuana halafu alikuwa na vitu ninavyohitaji........
Basi ikawa ni mchezo wa kufanya matusi kila siku kwa muda wa wiki mbili tulizokaa hapo!!!

Jamaa alipagawa na mimi pia,, basi ikawa ni kila baada ya wiki mbili lazima tuonane!!!! nilimpa mahaba mpaka akahama hiyo sehemu akanifuata..
jamaa alikuwa na mchumba wake nilifanikiwa kuwaachanisha na akanioa na ndio tuko mpaka leo.

Nimesimulia hii kwa sababu ya story yako!!! uliogopa tu kwa huyo mnywa soda ungeweza kabisa kupindua meza na akawa wako.
Hapo pa kufanya nanilihii umekimbia sana madam,, 😋
 
Sidhani kama kuna mwanaume timamu kwamba anamuacha mwanamke wake baada ya kujipata. Ukiona ivyo chunguza mwanamke maisha aliokuwa akiishi nae huyo mwanaume akati yupo down.
Kwa hili nakubaliana na wewe. Mara nyingi wanaume tukiwa low wanawake zetu huwa wanatutesa sana. Yan wanakuonyesha kabisa kwamba "niko na wewe kwa kukuvumilia tu sio kwamba unastahili" . Hii kitu wanaume huwa unawatesa sana sema ndio hivo huwa wanapiga kimya, na ndio maana wakishakaa sawa hakyanani huwezi kuwaona hapo
 
Taasisi ya ndoa imekwisha kufa hususani kwenye jamii zilizopokea na kuuenzi utandawazi, tukubaliane na mabadiliko ya ulimwengu.
Mahusiano mengi yamehamia kwenye miamala tofauti na hapo awali, pia upatikanaji wa wanaume kwa wanawake umekuwa rahisi kupitiliza, supply ya ngono imekuwa kubwa kuliko demand
Bwashee huu ndio uhalisia, same hatujawahi toa wajinga mangi🤣😅
 
Hiyo tuachie sisi wasomaji,,, auuwiiii,

Nachojua penzi la utani na bila kutegemewa namna hiyo huwa halichuji, tofauti na penzi la kufuata taratibu, ili penzi linoge ziwepo sababu ya kuwazuia nk,
Nakuelewa ka peace mno mimi ni mpumbavu mmoja ila jf kuna wanawake nawaelewa mno.🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom