Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
WATU WANNE KWENYE MAISHA YAKO KAMWE HUTAKIWI KUWAAMINI HATA KIDOGO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Leo sina kelele sana. Nimechoka na vijana wanaonisumbua kwenye biashara. Hata hivyo haya hayawahusu.
Watu ambao hutakiwi kuwaamini hata kidogo;
1. Wanasiasa.
Hawa ndio vinara. Hawa aiseeh! Hutakiwi kuwaamini hata kidogo. Wakiongea itikia tuu. Ni waongo sana.
Sababu wao hawaongozwi na Uongo au kile wanachokisema. Hawajali kile wasemacho ni kweli au laa. Wao wanajali zaidi maslahi yao. Na wapate kile wanachotaka. Basi!
2. Mwanamke hasa Akiwa Maskini.
Sisi Watibeli, mwanamke akishakuwa Maskini, plus mvivu, plus tegemezi. Hakuna kitu ataongea tukiamini. Hatuamini Mwanamke Maskini kwa sababu wanakuwa wanafiki kwa kiwango cha juu kabisa
Wanakuwa nyonyaji na roho mbaya.
Utakuwa umefanya kosa kubwa katika maisha kuamini mwanamke maskini, mvivu na tegemezi anakupenda kikamilifu. Hilo ni kosa la kiufundi.
3. WACHUNGA NA MASHEIKHE pamoja na viongozi wa Dini.
Sisi Watibeli moja ya nguzo zetu kuu ni AKILI na Maarifa. Tunanguzo nne. Moja ni HAKI, UPENDO, UKWELI NA AKILI.
Mtu yeyote ambaye hataki tutumie Akili zetu ipasavyo tunamtoa kwenye laini. Hatuwezi kumuamini Mtu huyo.
Wachungaji na masheikhe tunawawek kundi la matapeli na waongo hasa wanapotaka watu waamini zaidi kwenye Dini zao lakini Dini za wengine ati wahoji. Huo ni utapeli. Uhuni.
Kwamba kwa vile Mimi Mtibeli Nasali Sabato, basi kwenye usabato niamini tuu bila kuhoji na kuuliza maswali magumu na tata na niseme ukweli kuw jambo fulani ni uongo hata kama lipo ndani ya dini au dhehebu au dini yangu.
Lakini nisiamini mambo ya uislam au dini zingine bali nihoji na kuuliza maswali. Huo ni utapeli.
Sisi Watibeli tunahoji chochote na yeyote. Hatuna mipaka ya kuhoji pale akili zetu zikipata maswali. Na tunahitaji majibu ya kueleweka.
Na kama hayaeleweki. Tunaridhishwa na majibu ya Kweli.
Mfano mtu akisema hilo jambo kwenye dini ni hadithi ya kubuni isiyo na ukweli wowote. Ila lengo lake ni hili au lile. Tunaelewa. Na tunakubaliana na ukweli huo kwamba jambo fulani sio kweli. Ila lilitungwa kwaajili fulani. Simple!
Mfano, Jambo la Zaka au Sadaka.
Sio lazima kutoa zaka au sadaka. Ila ulazima utakuja kama unapokea huduma husika kwa mtumishi husika.
Iko hivi kama ukipanda Basi utalipia nauli.
Au ukienda shule au chuo utatoa Ada.
Au ukienda kupata huduma yoyote iwe ni Sokoni, Gym, n.k utalipia.
Basi unatakiwa ukienda Kanisani au msikitini ulipie huduma hiyo. Hela utakayolipia inaitwa Zaka. Hiyo ni lazima. Kama ilivyo lazima kulipia nauli ukipanda ndege au Basi.
Sadaka ni hiyari yako.
Sasa huwezi kutoa zaka kama wewe huendi kanisani au huhitaji huduma za Kanisani. Unatoa ya nini? Hunufaiki kw chochote.
So ni vizuri watumishi wa dini waseme kweli. Watu watawaelewa.
4. Mtu anayekushauri biashara.
Iko hivi, hakuna mtu yeyote hapa duniani atakayekushauri au kukuonyesha mahali ambapo yeye anapata hela. Hakuna wakukuambia siri za utajiri hasa utakavyopata hela kirahisi.
Mtu yeyote anayekuambia mambo ya biashara na kufanikiwa usimuamini. Atakuwa anakupa tuu tips ikiwezekana kukupoteza njia.
Ni hayo tuu.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam