Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

Yes,
maana imeandikwa kwenye Mathayo 4:4, kwamba

"mtu hata ishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu."

Je,
ndugu mdau,
ulikua hujui hata hilo?🐒
Ndio hebu nipakulie kidogo hayo mema na mimi nikanunue hata ki shopping basket 😎
 
Jikumbushe kwanza ahadi za mwanaCCM hasa ahadi namba 8 ili ujue hakuna mwanaCCM mwongo.

AHADI ZA MWANACCM

1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Africa ni moja.

2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.

3. Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

4. Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

5. Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.

6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

8. Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.

9. Nitakuwa mwanacha mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Africa.
Hiyo namba 7 mwenyekiti wenu anawasweka na kuwapoteza wapinzani wake wa kisiasa. Fix tu; hiz ahadi Nyerere ndio amefuata
 
Mtibeli swaga zako nazikubali sana hiyo namba mbili umepiga kwenye mshono .
Mwanamke masikini ni tatizo ukimwamini umekwenda na maji kama jeshi la farao.
Mtibeli kumbuka muda wa kifungua sabato umewadia.
 
Kuna msema wa "a man of his words", lakini hauwezi kusikia "a woman of her words". Unajua ni kwanini?
ni kweli kuna huo msemo. nimeusikia na ninautumia sana. Na pia najua kwa nini ni " a man of his word" na sio "a woman of her word"
 
Huu uzi bila CCM. Ni batili kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom