Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

Kwamba wewe ulizaliwa ukajua kuja Mungu kama hukufundishwa na watu. Ukawaamini watu hao kile wanachokisema?

Au wewe nawe ni Nabii wa Bwana
kwamba nimuamini Kitima au huyu jumaa hapa chini kwenye picha? :pedroP:
 
Attachments

  • 20260711_201740.jpg
    20260711_201740.jpg
    39.3 KB · Views: 2
Sitaki kukulazimisha kumpenda Heche na Mange dadaako
hata hao nawaheshimu na kuwapenda sana kama kaka na dada,
tukiwa sote watoto wa mama mmoja Tanzania.

In fact,
siasa imenifanya kuipenda sana JF na waTanzania wote.

In fact Mungu ameniwezesha kua na fikra pevu kisiasa na moyo wa upendo, ukarimu, shukrani na upole miongoni mwa waTanzania na wanasiasa wote 🐒
 
Mwanachama wa ccm
Jikumbushe kwanza ahadi za mwanaCCM hasa ahadi namba 8 ili ujue hakuna mwanaCCM mwongo.

AHADI ZA MWANACCM

1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Africa ni moja.

2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.

3. Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

4. Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

5. Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.

6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

8. Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.

9. Nitakuwa mwanacha mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Africa.
 
Vizuri. Zee la vinyani
 
Sasa buku saba tutagawanaje😆

We tilatila kuja hapa kobe wewe! Kumbe mmelipwa na hamsemi! Tlaatlaah
kama kijana mzalendo, mwenye bidii, maarifa na mchapakazi,

sihitaji malipo yoyote kwenye wajibu wenye maslahi mapana ya taifa.

In fact,
Neema na Baraka za Mungu pekee zanitosha.

sina haja na porojo au ushirikina mwingine 🐒
 
Kwahiyo mnakula neema na baraka mnashiba?
 
Yes,
maana imeandikwa kwenye Mathayo 4:4, kwamba

"mtu hata ishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu."

Je,
ndugu mdau,
ulikua hujui hata hilo?🐒
 
Jikumbushe kwanza ahadi za mwanaCCM hasa ahadi namba 8 ili ujue hakuna mwanaCCM mwongo.

AHADI ZA MWANACCM

1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Africa ni moja.

2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.

3. Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

4. Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

5. Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.

6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

8. Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.

9. Nitakuwa mwanacha mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Africa.
Sasa buku saba tutagawanaje😆

We tilatila kuja hapa kobe wewe! Kumbe mmelipwa na hamsemi! Tlaatlaah

😀😆😆
 
kama kijana mzalendo, mwenye bidii, maarifa na mchapakazi,

sihitaji malipo yoyote kwenye wajibu wenye maslahi mapana ya taifa.

In fact,
Neema na Baraka za Mungu pekee zanitosha.

sina haja na porojo au ushirikina mwingine 🐒

Kwamba unanitupia kijembe Ama! Nani anaporojo hapa
 
Back
Top Bottom