Kazi ninazozipenda ijapokuwa kipato chake ni kidogo sana

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
1. Msoma adhana
2. Mwalim wa madrasa

Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi.

Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa ikhlas hata kuliko kuwa katibu mkuu UNO au jaji mkuu wa mahakama ya ICC au hata Rais wa USA, RAIS FIFA

Mwalim wa madrasa unamposomesha mtoto na akijaalia kuongoka basi kila wakati unapata thawabu. Hii sawa na mfanyabiasha ambapo kila sec muamala wake unasoma.

Hii sawa na mwalim wa madrasa
 
Mwalim wa madrasa unamposomesha mtoto na akijaalia kuongoka basi kila wakati unapata thawabu. Hii sawa na mfanyabiasha ambapo kila sec muamala wake unasoma. Hii sawa na mwalim wa madrasa
Kuna hospitali inaitwa milembe, Kule Dodoma, nenda kapimwe kichwa
 
1. Msoma adhana
2. Mwalim wa madrasa

Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi.

Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa ikhlas hata kuliko kuwa katibu mkuu UNO au jaji mkuu wa mahakama ya ICC au hata Rais wa USA, RAIS FIFA

Mwalim wa madrasa unamposomesha mtoto na akijaalia kuongoka basi kila wakati unapata thawabu. Hii sawa na mfanyabiasha ambapo kila sec muamala wake unasoma.

Hii sawa na mwalim wa madrasa
Mwanahizaya mkubwa wewe unataka ukafire vitoto vya watu, nyie mijitu ya Bakwata ni ya hovyo sana
 
Juzi umemlalamikia Makonda kujenga msikiti badala ya chuo kikuu,leo unapenda adhana na madrasa!!
Kwani akijenga chuo hawezi kujenga msikitini ndani? Mum hamna msikiti ndani
 
1. Msoma adhana
2. Mwalim wa madrasa

Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi.

Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa ikhlas hata kuliko kuwa katibu mkuu UNO au jaji mkuu wa mahakama ya ICC au hata Rais wa USA, RAIS FIFA

Mwalim wa madrasa unamposomesha mtoto na akijaalia kuongoka basi kila wakati unapata thawabu. Hii sawa na mfanyabiasha ambapo kila sec muamala wake unasoma.

Hii sawa na mwalim wa madrasa

Kwani Jagina pia ni ID yako?.

Jibu kiukwel kabisa kama shahid muislam aliyeongoka.
 
Daaa wabongo noma ,yy ameonyesha interest yake ilipo nyinyi mnamponda,yy anataka anaitaka ahera siyo mambo ya dunia,Bismillahi walahi tarakimu shehe wangu,Pepo njema
 
Back
Top Bottom