- Thread starter
- #41
Kulikuwa na makafiri wengi kama wewe wenyewe mawazo kama hayo, lkn baada ya kusilimu wamejua ukweliKinachofuata ni kujivisha mabomu na kutafuta mikusanyiko ya watu unaowaita MAKAFIRI na kujilipua huku ukitamka ALLAH AKBAR....

Mashallah. Kazi halali hioKazi nayependa mimi ni Dereva wa Daladala ila Chuma iwe yangu mwenyewe si kuajiriwa.
Hiyo malaria yako haitibiki?1. Msoma adhana
2. Mwalim wa madrasa
Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi.
Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa ikhlas hata kuliko kuwa katibu mkuu UNO au jaji mkuu wa mahakama ya ICC au hata Rais wa USA, RAIS FIFA
Mwalim wa madrasa unamposomesha mtoto na akijaalia kuongoka basi kila wakati unapata thawabu. Hii sawa na mfanyabiasha ambapo kila sec muamala wake unasoma.
Hii sawa na mwalim wa madrasa
Unamwogopa Jagina kama ukoma ?? subiri akupe daawa .Wewe mpaka utasilimu tu inshaalah
Wamesilimu baada kuwatishia kuwalipuaKulikuwa na makafiri wengi kama wewe wenyewe mawazo kama hayo, lkn baada ya kusilimu wamejua ukweli
Akili zako sawa na akili za inzi. Zimejaa maviWamesilimu baada kuwatishia kuwalipua
Bora inzi ana akili anatumia akili zake kuendesha maisha yake.....kuliko wewe ambaye umeziondoa kabisa na kuwa mtumwa wa akili za watu wengineAkili zako sawa na akili za inzi. Zimejaa mavi
Kamwe siwez kuwa Muislam,Unamwogopa Jagina kama ukoma ?? subiri akupe daawa .Wewe mpaka utasilimu tu inshaalah
Kwa uandishi wao hao ni watu wawili tofauti. Ila ni watu wanaoupenda uislam kuliko kitu chochote.
Allah akuongoe uwe muislamKamwe siwez kuwa Muislam,
Na pia Sina hata chembe ya mchanga ya woga kuhusu ww.
Na pia haihusiani na kujua kuwa ID ya Malaria na Jagina ni mtu mmoja.
Na najibugi mada zako kila nikipata nafas. Na nikuambie tu, hakuna hoja hata moja ambayo imefanya nione sintofaham kwenye Dini yangu.
Kwa mtusi huu, Unatamani kazi usiyo iweza.Utakuwa shoga weye
Hiyo ni hatua moja kwani hakuna hoja uliyoipinga mpaka sasa . Utafika tu kunye mwanga , kwanza uanze kutomwabudu mtu ambaye hajasema kuwa aabudiweKamwe siwez kuwa Muislam,
Na pia Sina hata chembe ya mchanga ya woga kuhusu ww.
Na pia haihusiani na kujua kuwa ID ya Malaria na Jagina ni mtu mmoja.
Na najibugi mada zako kila nikipata nafas. Na nikuambie tu, hakuna hoja hata moja ambayo imefanya nione sintofaham kwenye Dini yangu.
Ishauri serikali iwalipe mshahara1. Msoma adhana
2. Mwalim wa madrasa
Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi.
Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa ikhlas hata kuliko kuwa katibu mkuu UNO au jaji mkuu wa mahakama ya ICC au hata Rais wa USA, RAIS FIFA
Mwalim wa madrasa unamposomesha mtoto na akijaalia kuongoka basi kila wakati unapata thawabu. Hii sawa na mfanyabiasha ambapo kila sec muamala wake unasoma.
Hii sawa na mwalim wa madrasa
Nimepinga na nimetolea ufafanuzi, na sijaona hoja mpya ambayo imeniletea sintofahamu.Hiyo ni hatua moja kwani hakuna hoja uliyoipinga mpaka sasa . Utafika tu kunye mwanga , kwanza uanze kutomwabudu mtu ambaye hajasema kuwa aabudiwe
Alag ngoja nikuambie kitu.Hiyo ni hatua moja kwani hakuna hoja uliyoipinga mpaka sasa . Utafika tu kunye mwanga , kwanza uanze kutomwabudu mtu ambaye hajasema kuwa aabudiwe
Alag ngoja nikuambie kitu.
Mm nakuona ww kama wale maustadhi Wafupi, weusi, Wamepaka rangi nyekundu ndevu zao. Wamevaa kanzu fupi , kibagalashee, Sandals zimechakaa, misaafu miwili na vibegi vyao vya mgongoni.
Sasa hawa vidampa wala hawajui dini, ni kama tu wale walokole wanaoweka spika na kupiga kelele barabarani. Nao ni wale wale tu.
Kujua kusoma quran na Biblia sio kwamba ndio unajua dini na kuweza eti kubadilisha mtu imani yake.
It takes more than than mwanetu.
So hawa vidampa ambao wako kama ww mm huwa siwasikilizi.
Ukipewa mshahara na serekali itakuwa sio kazi tena yenye kheir kama ilivyo sasa, itabidi umtumikie anaekupa mshahara zaidiIshauri serikali iwalipe mshahara