Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Tuachane na Hybrids za Prius, Fit, nk.
Ukitaka stress free, kagari flani ka misele ya mjini, basi ishi humu.
Ni Nissan Note ya kuanzia mwaka 2021/22. Najua uzuri ni subjective, kila mtu ana vigezo vyake, ila at least tutumie neno muonekano wa Kisasa.
Kwanini nasema reliable?
Ukifananisha na Nissan nyingine ambazo zina matatizo ya CVT (sio zote), hii Ina gear moja tu kama EV, very easy ATF change.
Hii gari unatumia hybrid technology ya series hybrid. Inamaana engine ni generator tu, kazi yake kuchaji battery hafu battery ndio linaendesha matairi kupitia mota. Kwahiyo kama EV, sema sasa ww hauchaji, unatembea na jenereta.
Ukijichanga, unazipata kwa CIF ya $5,000-6,000 ishu ya Ushuru sisemi usije Maind. Tutacheki.