Kama kipato chako kidogo na unataka kumiliki gari zingatia haya mambo 2.

Kama kipato chako kidogo na unataka kumiliki gari zingatia haya mambo 2.

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Gari ni kitu muhimu sana, ukimiliki gari kwenye hizi jamii zetu thamani yako inaongezeka. Na thamani yako ikiongezeka na pesa zitaongezeka.
Pesa ni thamani na si makaratasi.
Ndio maana unaweza kumlala MDADA ukampa 20k tzs na ukalala na mwingine ukampa 200k tzs. It's because of the value.
CCM wanawaalika wasanii kwenye sherehe moja mwingine hupewa million 1, mwingine million 10 na mwingine million 50 .
It's about vale.
Gari inaongeza thamani.
Ukipanga kukutana na madoni kwenye mgahawa mupange mipango ukija na boda au DALADALA hawawezi kuamini kuwa hiyo kazi utaiweza. Wanakushusha thamani.
Wanaweza kukupa kazi kwa majaribio tu si kwa kukuamini.
Turudi kwenye mada.
Mambo 2 ya kuzingatia iwapo unataka gari lakini bado kipato hakijakaa sawa.
1. Nenda garage kadhaa angalia aina za gari zilizo juu ya mawe kwa wingi. Usinunue gari aina hiyo. Nenda garage angalau 4.
2. Kaa au simama kando ya barabara kuu. Angalia gari namba A na B nyingi ni aina gani.
Utaziona Rav 4, Carina, n.k zile ambazo ziko nyingi maana yake ni kwamba hizo ni gari za kazi.
Zime survive miaka mingi.
Kuna gari haziwezi ku survive hata miaka 10 ziogope.
 
Back
Top Bottom