Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Aligonga mlango 🚪 Sikusema kitu🙁
Aliisukuma na kuingia ndani, Sikusema kitu🙁
Aliingia chumbani, Sikusema kitu🙁
Alikaa karibu yangu kwenye kitanda changu,Sikusema kitu🙁
Alitabasamu , nikaendelea kunyamaza, akanichombeza🙁
Alijivua nguo, Sikusema kitu🙁
Ananivua shati, Sikusema kitu🙁
Alinibusu sana, Sikusema kitu🙁
Alinivua suruali na boxer, bado Sikusema kitu🙁
Alipanda juu yangu, bado nikabaki kimya🙁
Alianza shughuli yake pole pole tena kwa utaratibu,Sikusema kitu🙁🙁
Baada ya yote alivaa na kuondoka, bado Sikusema kitu🙁
Sasa yuko hapa ananiambia kuwa ako na mimba yangu🤧🤧🤧🤧
Nifanye nini???😭😭😭🚶🙁🙁🙈