Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

Yes.... kwa mtazamo wa kutuliza akili na kuongeza umakini... na sio kuweka imani kwamba nikifanya may be baada ya mda fulani nitapata kitu....

Mimi wakati mwingine kwenye kuweka concentration huwanasoma Psalm 103 na nimeikariri karibu yote.....
Mimi natumia mantra meditation
Sawa shukurani sana
 
Back
Top Bottom