shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la shamba ekari 2 Fukayosi Bagamoyo linauzwa sh. 7m

    Habari JF, Eneo la shamba ekari 2 (mbili) Fukayosi Bagamoyo linauzwa sh 7m maongezi yapo. Shamba hili lipo kwenye eneo lililopimwa na kukatwa blocks na mitaa na wamiliki kupewa hati za kijiji. Hakuna udalali, mimi mwenyewe ndio mmiliki. Nitafute PM tuyajenge. Karibuni wadau.
  2. Mlingi Jr

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Handeni

    Hekari 127 zipo Handeni Komkonga Bei kwa heka 600,000 -Shamba limesafishwa -Linafaa kulima mahindi, mkonge, machungwa na mazao mengine -Lina hati ya mauziano ya serikari za mitaa na minute ya kikao cha uthibisho - Call 0785670285 if interested
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua mgogoro wa shamba la Lokolova Vunjo

    Serikali imesema kuwa Shamba la Lokolova lenye ukubwa wa ekari 2,610, lililopo eneo la Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, linamilikiwa kihalali na Chama cha Ushirika cha Ufugaji na Uzalishaji Mali Limited (LOKOLOVA), kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Hayo yamesemwa leo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi Watibeli; Jogoo la shamba linawika Mjini vizuri tuu

    KWA SISI WATIBELI; JOGOO LA SHAMBA LINAWIKA MJINI VIZURI TUU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Haya sio majivuno. Wala sio matambo. Bali ni ukweli kuhusu sisi Watibeli. Haijalishi Mtibeli kazaliwa kazuramimba, kazaliwa chini ya mti. Kazaliwa kijumba cha udongo. Kazaliwa ndani ndani huko...
  5. nitazoea

    JamiiForums Tanzania Shamba lenye mabanda ya nguruwe la kukodi(Kibaha)

    Salaam JF. Natafuta shamba lenye mabanda ya nguruwe la kukodi ili niweze kuanza project ya kufuga nguruwe. Location iwe Kibaha Pwani au maeneo ya jirani.
  6. DENLSON

    JamiiForums Tanzania Shamba Boy anahitajika

    Anahitajika kijana wa kutunza shamba, awe na uzoefu kwenye kilimo na ufugaji. Eneo ni Mvuha Morogoro. Atapewa nyumba ya kulala na bima ya afya. Wasiliana nami DM
  7. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba ekari 1.5 Soga Msufini linauzwa Milioni 30

    WAkuu sana wanaJF habari yenu. Shamba la ekari moja na nusu linauzwa milioni 30 ila mazungumzo yapo. MSufini ipo wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Ni eneo zuri ssna kwa uwekezaji Shamba lipo umbali wa mita 150 kutoka kwenye barabara kubwa ya viwanda ambayo huko baadae itawekwa lami kutokana na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: mwanangu ananyang'anywa shamba alilopewa na babu yake

    Baba mkwe wangu alifariki mwaka 1993 mwanangu akiwa na miaka 9. Alimpa mwanangu shamba kwa sababu alikuwa ni wajina wake. Eneo hilo halikuguswa na yoyote kwa sababu siku zote linajulikana ni la mwanangu.. Pia alimpa mjukuu mwingine mtoto wa mke mwenzangu eneo ambalo pia halikuguswa. Mwaka juzi...
  9. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

    Aligonga mlango 🚪 Sikusema kitu🙁 Aliisukuma na kuingia ndani, Sikusema kitu🙁 Aliingia chumbani, Sikusema kitu🙁 Alikaa karibu yangu kwenye kitanda changu,Sikusema kitu🙁 Alitabasamu , nikaendelea kunyamaza, akanichombeza🙁 Alijivua nguo, Sikusema kitu🙁 Ananivua shati, Sikusema kitu🙁 Alinibusu sana...
  10. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

    Habari wakuu, "Ukitaka mali utaipata shambani" Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati. Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
  11. C

    JamiiForums Tanzania SHAMBA hekari 8 linauzwa lipo mandera karibu na mizani mtowami Pwani

    Shamba linauzwa lililopo Mandera, karibu kabisa na Mizani ya Wami. 📐 Ukubwa: Ekari 8 💰 Bei: Tsh 2,500,000 kwa ekari 📄 Umiliki: Hati ya kijiji ipo 📍 Google Maps: Google Maps 📞 Kwa maelezo zaidi: 0753447870 Mteja serious tu tafadhali
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo azindua mpango wa KKK eneo la shamba la Mwakinyumbi Korogwe

    KOROGWE WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo amezindua rasmi mpango wa kupanga, kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo la Shamba la Mwakinyumbi lililopo Kata ya Hale, Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga huku akiwataka wananchi wanaoishi eneo...
  13. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Shamba Ekari 2 liko Kibaha Misugusugu Saeni linauzwa milioni 40

    Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au uwekezaji wa viwanda maana wachina wanaendelea kujenga viwanda maeneo hayo. Njoo DM tuongee naamini...
  14. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Laana ya shamba

    LAANA YA SHAMBA Palikuwa na shamba moja kubwa, zuri na lenye rutuba ya ajabu. 🌿 Shamba lile lilikuwa na kila aina ya mazao ya thamani. Udongo wake ulikuwa wenye nguvu, na kila aliyelima ndani yake alijua kuwa alikuwa sehemu ya shamba lenye uwezo mkubwa wa kutoa mavuno. Kulikuwa na wafanyakazi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TFS: Wananchi hawatakiwi kulipishwa wakipewa maeneo ya Shamba la Miti la TFS West Kilimanjaro, wasirubuniwe

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU UTARATIBU WA UGAWAJI WA MASHAMBA KATIKA SHAMBA LA MITI WEST KILIMANJARO Agosti 27,2026 - Dodoma, Tanzania Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umefuatilia taarifa na madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na miongoni mwa baadhi ya wananchi kuhusu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kitendo Cha Nchimbi kufukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, je machawa wa humu jf na kwingineko watafukuzwaje?

    Ikiwa Nchimbi amefukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, hebu piga picha machawa wa humu jf na kwingineko namna watakavyofukuzwa.
  17. B

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

    Aug 15, 2026 Manyara WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto. Wananchi wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa,Ng'ong'ona_Dodoma M10

    Shamba linauzwa Ng'ong'ona _Dodoma,Karibu na UDOM,njia ya kuelekea mvumi_Muungano. Lina ukubwa wa ekari 2.5, Maeneo hayo yameanza kupimwa na Kuna makampuni ya upimaji ,Pia linafaa Kwa kilimo kama , Zabibu, Ufuta,Alizeti,Mahindi,Mtama,Maharage,Mbaazi,nk . Karibu uwekeze,namba ya muhusika...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa,Nzogole_Dodoma,Tsh M8 Tuu

    Karibu wanaJf, Shamba linauzwa Nzogole,Mpakani mwa Bahi na Dodoma mjini.Lina ekari 2.4,lakini nimechukulia kama ekari2! Linafaa Kwa kupima viwanja, Kulima Mtama,Alizeti,Ufuta nk . Ni ukanda pia wa madini ya dhahabu Kuna machimbo huko. Karibuni sana.
Back
Top Bottom