😂😂Umetoka jela au
Hata kwa lak 3 anapata Arusha ni kijiji kikubwa kama mbeyaAmka usingizini!
Hata kwa milioni 10 hauwezi pata.
Hakuna.Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
Zamani Manyara ilikuwa Arusha pia, jifanye ulinunua kabla haijamegwaHabari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
Nauliza tu ndugu. Nimecheki maeneo mengi bei ziko juu nikasema nipate maoni humu. Ni kwa nia njema tuUmetoka jela au
Nashukuru kwa mchango wako chanyaKilomita 50 kutoka mjini kwa bei hiyo sahau! Labda uongeze sifuri nyingine mbele au ubadilishe mawazo uende Singida ukalime alizeti Mkuu.
Nimemaanisha Arusha mkuu. Ila maoni yenu yananisaodia kujua nijipange vipi. Nawashikuru wote wanaochangia uzi wangu.Arusha???au umekosea kuandika location.
Una connection yoyote Monduli au Longido? Hata huko patanifaaHalafu unataka eneo shamba la migomba,migomba kwa arusha ni Meru,na arusha dc kwa baadhi ya maeneo, hela hiyo haitoshi,labda kama ni mashamba ya ukanda wa monduli au Longido
Duhh! Kumbe hii miti yangu hapa ni pesa ndefuKwa Arusha Hiyo ni bei ya kununua mti
Hata 100km huwezi kupata.Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
Sisi kwetu ni arusha uku ndani ndani kabisa umeme umefika juzi lakini amna ata ekar ya milion tano kwanzia 10m kuendeleaHakuna mahali ardhi ni gharama kama Arusha Mzee.