milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waititu Apewa Kifungo cha Miaka 13 au Faini ya KSh21 Milioni Katika Kesi ya Ufisadi wa KSh588 Milioni

    Aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, amehukumiwa kifungo cha miaka 13 gerezani au kulipa faini ya jumla ya KSh21 milioni katika kesi ya ufisadi na utakatishaji fedha za umma zenye thamani ya KSh588 milioni. Hukumu hiyo ilitolewa Jumatatu, Novemba 2, 2026, na Jaji Harrison Barasa wa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya ufisadi wa kutisha Kanisa la Wasabato, kigogo mwingine ajiuzulu kwa ufisadi wa dola milioni 63

    Rais Mwingine wa Division ya Waadventista Apoteza Nafasi Yake Katika Kashfa ya Kifedha Inayodaiwa ya Dola Milioni 63 Rais mwingine wa Division ya Waadventista anapoteza nafasi yake huku kukiwa na taarifa za kashfa ya kifedha inayodaiwa kuhusisha dola za Marekani milioni 63. Mchungaji Soon Gi...
  3. O

    JamiiForums Kenya Mahakama Yaamuru Ezekiel Mutua Kumlipa Nonini KSh3 Milioni kwa Kumkashifu

    Mahakama ya Milimani imemuamuru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Music Copyright Society of Kenya (MCSK), Ezekiel Mutua, kumlipa mwanamuziki maarufu Hubert Nakitare, anayefahamika kama Nonini, fidia ya KSh3 milioni kutokana na matamshi yaliyopatikana kuwa ya kumkashifu. Katika uamuzi uliotolewa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa Tsh bilioni 1 inaweza kuleta faida ya Tsh milioni 100 kwa mwezi

    Leo tujadili biashara za kariakoo zilivyo sasa kutokana na ushindani wa bei kutoka kwa wazawa na wageni Tujadili ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa bilioni 1 inaweza kuleta faida ya milioni 100 kwa mwezi
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Tanganyika Yavuna Matunda Ya Biashara Ya Kaboni, Sh700 milioni Zajenga kituo cha Afya Katuma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akimkabidhi chandarua Mwananchi wa Kata ya Katuma Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi baada ya kukagua mradi wa Kituo cha afya kilichojengwa kutokana na fedha za Biashara ya Kaboni...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Dodoma Adai Kuchomewa Duka la Sh Milioni 120, Amtuhumu Mtumishi wa CCM na kumtishia kupotezwa

    Mfanyabiashara wa nguo jijini Dodoma, Essau Andrew maarufu Andrew Fashion, amedai kuchomewa duka lake lenye thamani ya Sh milioni 120 miezi miwili iliyopita, akimtuhumu mtumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Raymond Mosi, kuhusika na tukio hilo na baadaye kumtishia kupotezwa anapodai haki yake...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan yapigwa faini ya Shilingi milioni 1 za Kenya kufuatia kifo cha mgonjwa kilichosababishwa na maambukizi aliyopata

    Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDC) limeitoza Faini Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kiasi cha KSh1 milioni kutokana na usimamizi mbovu na mapungufu katika matibabu ya Valarie Cherono Misoi, aliyefariki dunia baada ya kujifungua mnamo Agosti 2019. Kamati ya nidhamu...
  8. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba ekari 1.5 Soga Msufini linauzwa Milioni 30

    WAkuu sana wanaJF habari yenu. Shamba la ekari moja na nusu linauzwa milioni 30 ila mazungumzo yapo. MSufini ipo wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Ni eneo zuri ssna kwa uwekezaji Shamba lipo umbali wa mita 150 kutoka kwenye barabara kubwa ya viwanda ambayo huko baadae itawekwa lami kutokana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuwanunua wale wa daraja la juu, A class, ndio utoe milioni kwa usiku 1 ?

    Tanzania ina mambo ya kushangaza sana wazee. Hivi unaanzaje kutoa mtonyo wa milioni moja kwa usiku mmoja tu kulala na demu kwa kisingizio ni A class? Dem anaejiuza ambaye pengine jana alikuwa na mteja mwingine, na kesho yake ana wateja wawili
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya waTz zaidi ya milioni 70 waliopo sasa, ikitokea hata waTz milioni 10 wakasusia jambo fulani mathalani uchaguzi hapatakua na athari zozote

    Kwasababu, idadi ya ambao hawatasusa inatosha kabisa taifa kumove on bila ya changamoto yoyote kama ilivyo sasa. In fact, Idadi hiyo ya waTanzania, inafanya taifa kufocus zaidi na mambo yajayo kuliko kubabaika na porojo au misimamo isiyo na tija ya ving'ang'anizi ambao wanajipa umuhimu na...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Marekani Yatoa Zawadi ya Hadi Dola Milioni 10 kwa Taarifa za Mshukiwa wa Ujasusi wa Mtandaoni.

    Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kumpata Zhang Yu. Zhang Yu anatuhumiwa kufanya kazi kwa niaba ya Wizara ya Usalama wa Taifa ya...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Brazil ina watu Milioni 125, Kura za Urais zimetangazwa kwa siku Moja. Ila Tanzania Watu Milioni 60, hadi watu Wauawe kwanza ndo Matokeo yatangazwe

    Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa. Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi kuhudumia tani milioni 54 za mizigo kutoka tani milioni 37

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Adeyemi ashtakiwa kwa kuanzisha Taasisi Feki ya Serikali na kutengewa Dola Milioni 1 kwenye bajeti kuu

    Septemba 30, 2026 Mwanamume mmoja nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Adeniyi Adeyemi alifikishwa Mahakama ya Abuja akituhumiwa kuunda kinyume cha sheria taasisi ya serikali, kujiteua kuwa mkuu wake na kufanikisha kutengewa fedha katika bajeti ya serikali. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SACCOs Zimeongeza Wanachama 480,000 - Lakini Akaunti Milioni 1.69 'Zimelala'

    SACCOs nchini Kenya zilipata Wanachama wapya takriban 480,000 katika kipindi cha mwaka mmoja, huku idadi ya wanachama katika SACCO zinazodhibitiwa ikifikia milioni 7.87 mwaka 2025, kutoka milioni 7.39 mwaka 2024. Kwa mtazamo wa kwanza, hii inaonekana kama ishara ya kuongezeka kwa imani ya...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Koola akabidhi milioni 100 Marangu hospital

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Enock Koola, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 100 kama mchango wake na marafiki zake kwa ajili ya ukarabati wa Kliniki ya Meno pamoja na Maabara katika Hospitali ya Marangu, akisema lengo ni kurejesha hadhi ya hospitali hiyo na kuimarisha huduma za afya kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Usiridhike na cash au salio la Bank, Wekeza au nunua assets kulinda thamani ! miaka 30 iliyopita elfu 50 ilikuwa na thamani kuzidi milioni ya leo.

    Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k. Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watanzania kufika Milioni 120 ifikapo 2050

    Ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania linatarajiwa kufikia takribani milioni 120 ifikapo mwaka 2050, hali inayotarajiwa kuongeza mahitaji ya miundombinu na huduma muhimu. Fursa kubwa zinaonekana katika ujenzi wa nyumba, barabara, hospitali, mifumo ya maji na miundombinu ya mijini, huku sekta...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania DED ashinda kesi ya fumanizi/Ugoni Dhidi ya Mfanyabiashara na kupewa Fidia ya Milioni 10

    My Take Nilikuwa sijui kama Ugoni na fumanizi unaweza peleka kesi mahakamani na kudai fidia. =============== Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 kwa Mkurugenzi wa Manispaa baada ya mfanyabiashara kukutwa na hatia ya kufanya uzinzi na mke wake. Mkurugenzi huyo...
Back
Top Bottom