Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,743
- 1,855
WAkuu sana wanaJF habari yenu. Shamba la ekari moja na nusu linauzwa milioni 30 ila mazungumzo yapo.
MSufini ipo wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Ni eneo zuri ssna kwa uwekezaji
Shamba lipo umbali wa mita 150 kutoka kwenye barabara kubwa ya viwanda ambayo huko baadae itawekwa lami kutokana na kuendelea kwa ujenzi wa viwanda maeneo hayo.
Ni eneo ambalo ujenzi wa viwanda unaendelea kwa kasi sana na kama una mtaji wa kutosha unaweza kupaendeleza kwa kujenga nyumba za wapangaji maana kwa ujenzi wa viwanda unaoendelea wateja wa kupangisha watakuwepo wa kutosha sana. Shamba lina mimea kama mikorosho na miembe na nyumba ingawa ni ya kawaida sana. Huduma ya Umeme ipo.
Karibu sana tufanye biashara.