Plot4Sale Shamba ekari 1.5 Soga Msufini linauzwa Milioni 30

Ni kilometres ngapi mpaka morogoro road kotoka eneo shamba lipo Mtego wa Noti
Kutoka morogoro road ni wastani wa kilomita tano mkuu. Lakini kuna barabara kubwa ya ya lami ya ndani inayotoka morogoro road kupitia misugusugu kwenda kwenye viwanda ambayo inaendelea kuboreshwa kwa sababu ya uwepo wa viwanda vingi vya wachina. Kwenye hiyo barabara ya viwanda vya wachina shamba liko umbali wa mita mia hamsini tu (m.150). Karibu mkuu tuzungumze mkuu
 
Eti soga kutakuja kuwekwa lami 😄😄😄 yani ule ujenzi wa mara kwa mara unaouona ndio budget ya halmashauri ya kibaha hiyo tu hakuna nyingine utaona.

Huko ni mashambani hapawekwi lami ng'o
 
Chalinze mashamba 2m uuze 30m kweli utakua na tatzo la afya ya akil
Mkuu natamani ungepanga kuja kupaona. Ni eneo la kimkakati kwa sababu ya uwepo wa viwanda. Siyo kwamba ni shamba tu kama unavyofahamu. Ukipamiliki ukawa hauna changamoto ukawasubiri wachina wanaoendelea kujenga viwanda utakuja kunishukuru huko mbeleni
 
Eti soga kutakuja kuwekwa lami 😄😄😄 yani ule ujenzi wa mara kwa mara unaouona ndio budget ya halmashauri ya kibaha hiyo tu hakuna nyingine utaona.

Huko ni mashambani hapawekwi lami ng'o
Unajua kuna lami kwa ajili ya viwanda ambayo imeanzia pale misugusugu na inazunguka maeneo ya viwanda? Sasa kutoka shamba lilipo hadi lami ilipoishia ni kama kilomita 2 tu. Na kwa sababu ya ujenzi wa viwanda unaoendelea eneo hilo, ni wazi kwamba hiyo barabara itawekwa lami.
Barabara sidhani kama itawekwa lami na halmashauri bali itawekwa na wenye viwanda kwa ajili ya kuwezesha usafirishaji wa malighafi pamoja na bidhaa wanazozalisha viwandani. Natamani ukapaone kama una nafasi mkuu. Karibu sana
 
Ahsante kwa ku clarify hili kuwa "huenda itawekwa na wenye viwanda" ila serikali haiwezi kuleta lami Soga kwa wakati uliopo na ujao

Hayo mazingira nayajua vizuri nipo halmashauri yenu hapa
 
Kutoka morogoro road ni wastani wa kilomita tano mkuu. Lakini kuna barabara kubwa ya ya lami ya ndani inayotoka morogoro road kupitia misugusugu kwenda kwenye viwanda ambayo inaendelea kuboreshwa kwa sababu ya uwepo wa viwanda vingi vya wachina. Kwenye hiyo barabara ya viwanda vya wachina shamba liko umbali wa mita mia hamsini tu (m.150). Karibu mkuu tuzungumze mkuu
15M boss
 
Ahsante kwa ku clarify hili kuwa "huenda itawekwa na wenye viwanda" ila serikali haiwezi kuleta lami Soga kwa wakati uliopo na ujao

Hayo mazingira nayajua vizuri nipo halmashauri yenu hapa
Asante sana kwa kunielewa. Si unaijua ile barabara ya viwandani inayoanzia misugusugu? Sasa ile barabara inaelekea hadi huko ingawa haijamaliziwa. Soga nayo ni pana sana. Hii Soga ninayoizungumzia siyo ile ya kwa ndaani kabisa...ni Kijiji cha Misufini ambacho kiko karibu na Misugusugu
Ongeza ongeza boss
 
Wakuu naendelea kuwakaribisha kujipatia shamba zuri. Unaweza kupatumia kwa ufugaji na makazi maana umeme na maji yapo. Pia unaweza kuamua kufanya kilimo na mambo yakawa safi kabisa. Karibuni sana
 
1.5 ekari kwa milion30 tena umesema shamba maana yake liko polini na halijapimwa. Siwez shangaa wajinga ni wengi watanunua

1.5 ekari kwa milion30 ni ujinga ulopitiliza haijalishi ni sehemu gan asante
 
Mkuu kusema unaweza kulima au kufuga haimaanishi kwamba ni porini. sehemu ina umeme na maji na iko jirani na shule kubwa tu inaitwa Waamuzi unasema ni porini? Natamani ukapaone. Karibu mkuu ujipatie eneo zuri. Hiyo ni bei ya kuanzia ila mazungumzo yapo sana tu. Karibu sana
 
Back
Top Bottom