Mkuu, naweza nikakuuliza kuhusu mashamba hapo ulipo. Gharama ikoje? Je yanafaa kulima mazao gani? Ni pa-kame ama ni pa-kijani(ardhi ina rutuba)Watu wanaujuaj wa kijinga na hata sehemu hawajawah kaa, utaskia Arusha viwanja bei ghari sisi tunaishi karibu na mbuga pua na tako na kilometers 25 tu kutoka usa river na viwanja ni bei kutupa
Km 50 kutoka mjini shamba unanunua kwa lak3 tu hao mataahira wanaosema milion kumi upate hata 1acre ni wajinga hiyo kumi unaweza nunua kijiji uko uwiro
Maeneo fulani Arusha panaitwa Kilombero ndio nimepata eka moja kwa milioni mbili na nusu. Pana rutuba. Panafaa kwa kilimo cha maharage au kwa ufugajiMkuu, naweza nikakuuliza kuhusu mashamba hapo ulipo. Gharama ikoje? Je yanafaa kulima mazao gani? Ni pa-kame ama ni pa-kijani(ardhi ina rutuba)
Shukran mkuu, ila hapo Kilombero ni wapi ama ni karibu na wapi maana napajua Kilombero sokoni tu. Je ni huko karibu na Usa-river ama?Maeneo fulani Arusha panaitwa Kilombero ndio nimepata eka moja kwa milioni mbili na nusu. Pana rutuba. Panafaa kwa kilimo cha maharage au kwa ufugaji
Oh, shukran mkuuNi mbele ya Kiserian barabara hiyo inayokwenda maeneo ya Kiteto. Kama uliwahi kufika mnada wa Lokii basi ni mbele zaidi ya hapo
Alinunua wapi? maana natafuta pia shamba kwa bei hiyoHuko Arusha Hadi ya laki yapo, ila mbali mno na mji, unakuta maji hakuna labda uchimbe, na miundo mbinu mibovu. Nina rafiki yangu alinunua eka kama mia nadhani, ila kufika sasa.
Ilikuwa mwaka 2015 kama sikosei, eneo lina jina la kimasai silikumbuki, olyomononyi au oltomononyi sina kumbukumbu.Alinunua wapi? maana natafuta pia shamba kwa bei hiyo
Oh, shukran mkuuIlikuwa mwaka 2015 kama sikosei, eneo lina jina la kimasai silikumbuki, olyomononyi au oltomononyi sina kumbukumbu.
Pamoja sana.Oh, shukran mkuu