Habari,
Ninaishi Arusha, na nimekuwa nikikabiliwa na changamoto ya bili kubwa za maji ambazo hazieleweki. Kwa muda wote nimekuwa nikiishi hapa tangu mwezi Julai, bili ya maji imekuwa ikija ikiwa si chini ya Sh 80,000.
Awali, nilidhani huenda kuna siku nitakutana na msoma mita ili nipate...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa na kuwaandaa wananchi...
Mmoja alikuwa SIIARA na jamaa dalali loya, ambaye aliacha kazi za mahakamani. Dalali alikuwa mbeba kofia kabla ya mwingine kuwa mjengoni, halafu akawa topu wa kambi la masipoti na uzushi.
Sasa si wakampiga mtasha fala eka 50 pale kuvuka daraja la mabosi wa wanyama porini A JIJI, akaachiwa...
Kikundi kinachojulikana kwa jina la Operation, kinachodaiwa kufanya ukamataji wa pikipiki za waendesha bodaboda katikati ya Jiji la Arusha, kimenusurika kushambuliwa na wananchi waliokasirishwa na vitendo vya ukamataji huo.
Tukio hilo limetokea leo katika maeneo ya Kilimanjaro, jijini Arusha...
Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki.
Tukiingia maeneo hayo na...
Anonymous
Thread
arushaarusha mjini
bajaji
dereva
dereva bajaji
ila
kero
kuhusu
maeneo
mjini
sana
traffic
yangu
hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee.
ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi.
nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
23 October 2026
Ikunga, Singida
Tanzania
MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE
https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI
Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ...
Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
Katibu Muenezi wa CCM Arusha Saipulani Ramsey amjia Juu Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba Asema kauli yake ya kwamba “alimuomba Rais Samia amruhusu kuwatukana wapinzani” Kauli hiyo inashusha hadhi ya Ikulu na amtaka aombe Radhi na afute kauli yake
Soma Pia:
Kiliba: Rais Samia alifiwa na Mume...
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari ya juu. Ni vyumba viwili doble self ina chumba na sebule na choo. Hakuna jiko lakini unaweza kufanya partition ya jiko. Pia ni karibu na barabara. Kwa mawasiliano zaidi piga 0768 368 574
karibu.
Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa.
Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
Anonymous
Thread
afya
arusha
barabara
kero
kuu
mmoja
mnazi
mnazi mmoja
soko
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana na mwananchi aliyekuwa msibani baada ya kuitwa na wananchi kwenda kutatua mgogoro wa kifamilia ulioibuka kuhusu haki za mjane wa mwanaume aliyefariki.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, mgogoro...
Haya matukio ni Moja ya Siasa za hovyo kuwahi kutokea, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika, wakati huna taarifa za kutosha au bila kureport Polisi ili uchunguzi ufanyike .....acheni kukurupuka na habari zenu za kubumba.
Wakuu, hii ni aibu na inayotia Kinyaa!!.
Jamaa yangu huyu aliyepo Makao makuu ya Ngorongoro , ananipigia simu kumielezea adha wanayopitia huko Porini kwao kwa karibu mwezi mzima sasa !.
Petroli ianuzwa Elfu Sita kwa Lita, huku Chama cha Mapinduzi (CCM) , Mwenyekiti wake wa Wilaya, DED, DC na...
Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.
Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
Huwa nikienda kijijini kwetu huwa ninalala kwenye nyumba ndogo ya nyasi pembeni ya nyumba kubwa ya familia. Ile nyumba ya ndogo iliyoezekwa kwa nyasi haina sakafu na inaingiza kitanda kidogo. Yaani ukikaa kitandani kunabaki nafasi ndogo sana. Zamani kulikuwa na kitanda cha kamba ila kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.