Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu Muenezi wa CCM Arusha Saipulani Ramsey amjia Juu Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba Asema kauli yake ya kwamba “alimuomba Rais Samia amruhusu kuwatukana wapinzani” Kauli hiyo inashusha hadhi ya Ikulu na amtaka aombe Radhi na afute kauli yake
Soma Pia:
"Hapa tunatetea misingi na miiko ya taasisi yetu... Msimamo wetu ni ule ule. Futa kauli yako." Amesema Ramsey
Soma Pia:
- Kiliba: Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani
- Kiliba(Rais TAHLISO): Nilimwambia Rais naumia CHADEMA kukutukana upo kimya, basi turuhusu sisi vijana wakitukana, tuwatukane na sisi
"Hapa tunatetea misingi na miiko ya taasisi yetu... Msimamo wetu ni ule ule. Futa kauli yako." Amesema Ramsey