Twaha Mwaipaya alipost kuwa Vivian katekwa Arusha kumbe ni uongo

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Haya matukio ni Moja ya Siasa za hovyo kuwahi kutokea, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika, wakati huna taarifa za kutosha au bila kureport Polisi ili uchunguzi ufanyike .....acheni kukurupuka na habari zenu za kubumba.

1792389753829.png
 
Majuzi nikiwa pahala nimetulia zangu kimya,akatokea kijana ambaye alikuwa amefuga ndevu nyingi yaani masharafa,jamaa alikuwa copyright na ben saanane,nilipokuwa namuangalia sana akawa ananikazia macho kwa umakini mkubwa sana,nikashindwa hata kumpiga picha kijanja/ bado naendelea kumlia rada kimya kimya mpaka nimfotoe picha,ispokuwa huyu jamaa alikuwa kama anajishughulisha na kazi za fanicha hizi nzuri nzuri,sasa nikawa najiuliza ni yeye au tu ni amefanana naye?,na kwanini wakati namtizama sana alikuwa ananikazia macho sana?,let assume duniani wawili wawili..
 
Kwani huyu kmmke kaandika nini hiki mbona CCM inaajiri machawa vichaa kiasi hiki Yani Bora hata wabaki na Lucas Mwashambwa hata porojo zake zinasomeka na buku 7 anaipata kwa jasho sana na sio hizi KUKU sijui hata Zina kiwango gani cha elimu
 
Majuzi nikiwa pahala nimetulia zangu kimya,akatokea kijana ambaye alikuwa amefuga ndevu nyingi yaani masharafa,jamaa alikuwa copyright na ben saanane,nilipokuwa namuangalia sana akawa ananikazia macho kwa umakini mkubwa sana,nikashindwa hata kumpiga picha kijanja/ bado naendelea kumlia rada kimya kimya mpaka nimfotoe picha,ispokuwa huyu jamaa alikuwa kama anajishughulisha na kazi za fanicha hizi nzuri nzuri,sasa nikawa najiuliza ni yeye au tu ni amefanana naye?,na kwanini wakati namtizama sana alikuwa ananikazia macho sana?,let assume duniani wawili wawili..
Jitahidi kula mitaa mkuu nafikiri Kuna siku utamuona na yule bonge wa boifrendi wa Mama kizimkazi Chivayo maana anatafutwa sana na mama usisahau kumpigia kafoto
 
Majuzi nikiwa pahala nimetulia zangu kimya,akatokea kijana ambaye alikuwa amefuga ndevu nyingi yaani masharafa,jamaa alikuwa copyright na ben saanane,nilipokuwa namuangalia sana akawa ananikazia macho kwa umakini mkubwa sana,nikashindwa hata kumpiga picha kijanja/ bado naendelea kumlia rada kimya kimya mpaka nimfotoe picha,ispokuwa huyu jamaa alikuwa kama anajishughulisha na kazi za fanicha hizi nzuri nzuri,sasa nikawa najiuliza ni yeye au tu ni amefanana naye?,na kwanini wakati namtizama sana alikuwa ananikazia macho sana?,let assume duniani wawili wawili..
Itakua alikuwa amekuvutia na ulipendezwa na ndevu zake...

Maana kuangalia mtu hadi anajistukia ina maana ulimtizama sana... possibly ulikuwa unamuangalia huku umeng'ata kidole...
 
Haya matukio ni Moja ya Siasa za hovyo kuwahi kutokea, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika, wakati huna taarifa za kutosha au bila kureport Polisi ili uchunguzi ufanyike .....acheni kukurupuka na habari zenu za kubumba.
huyo jamaa ni wakupuuzwa tu comrade.

hivi nae huyu jamaa si ni miongoni mwa wale vijana mamluki wa chadema waliohifadhiwa hotelini Nairobi na yule mbibi mishavu kwaajili ya kuzalisha uongo, porojo na upotoshaji kuhusu taifa lao na mojawapo alirejeshwa majuzi hapa na akajichanganya kwenye 18 za wana usalama na sasa yupo korokoroni right?🐒
 
Back
Top Bottom