https://youtube.com/shorts/Om6-i2nIOu0?si=iTlHgXvXon-PhACc
‼️UPDATES KESI YA MAOMBI YA HABEAS CORPUS KWA AJILI YA TWAHA MWAIPAYA‼️
📍Kutoka Mahakama Kuu ya Kenya;
Ameanza Wakili wa Mkuu wa Serikali 🇰🇪, Marwa, ameieleza Mahakama kuwa wanaendelea na jitihada za kumtafuta Twaha Mwaipaya na kwamba...
Jaji wa Mahakama Kuu Alexander Muteti amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, kujitokeza binafsi kueleza kinachoendelea kuhusu kupotea kwa mwanaharakati Mtanzania Twaha Mwaipaya, ambaye aliripotiwa kutoweka Oktoba 25, 2026, eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos.
Katika kesi ya maombi...
Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake.
Agizo hilo...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu Kenya (KNCHR) imeibua wasiwasi kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Twaha Salim Mwaipaya, na kuonya kuwa Kenya haipaswi kutumiwa kama eneo la utekaji, watu kutoweshwa kwa lazima au kuhamishwa kuvuka mipaka kinyume cha sheria.
Katika taarifa...
DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
Akizungumza Oktoba 27, 2026 Jijiji Dar es Salaam, Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amesema chama hicho kimemuandikia barua rais wa Kenya William Ruto kufuatia taarifa za kutekwa kwa kada wa chama hicho Twaha Mwaipaya nchini humo.
Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa...
Siku tatu tangu Mwanaharakati Mtanzania Twaha Mwaipaya aripotiwe kutekwa katika eneo la Kamulu, Kenya, hatua mpya imechukuliwa kutaka mamlaka zieleze alipo.
Shirika la Vocal Africa leo linawasilisha ombi la kisheria la habeas corpus katika Mahakama za Milimani likilenga kumtaka Twaha afikishwe...
Kenya kwa muda mrefu imekuwa ikitambulika kama mahali pa usalama kwa watu wanaokimbia mateso, vitisho na ukandamizaji wa kisiasa katika nchi zao. Lakini sasa, sifa hiyo inakabiliwa na maswali mazito kufuatia matukio ya kutoweka kwa wanaharakati na wakosoaji wa serikali kutoka nchi jirani wakiwa...
Hii ndio hatus waliochukua wanaharakati nchini Kenya na kesho ndio watatinga mahakamani
Chanzo; Akaunti ya X ya Hilder Newton yenye taarifa rasmi kuhusu habari hii.
Wanaharakati wa haki za binadamu mjini Mombasa wamelaani vikali tukio lililoripotiwa la kutekwa nyara kwa mwanaharakati wa upinzani wa Tanzania, Twaha Mwaipaya, wakitaka mamlaka zitoe majibu kuhusu mahali alipo.
Soma pia Mwanaharakati wa Tanzania Twaha Mwaipaya aripotiwa kutekwa Kamulu, Kenya
Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
Kwa hiyo ili kuzima taharuki ya kutekwa kisha kupotezwa kwa Twaha Mwaipaya kule Kenya, watawala wameamua kumpeleka Dubai Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kisha kumpiga picha na kisha wakazituma katika media zao ili kuwapumbaza Watanzania waache kumuwaza Mwaipaya.
Kama Nchimbi yuko huru kweli...
Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano.
CCM wana kila mbinu ya...
NAIROBI, KENYA — Madai kuhusu madeni ya muda mrefu yameibuka kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Twaha Mwaipaya, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Tanzania, nchini Kenya.
Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa, Mwaipaya alikamatwa na mwenye nyumba aliyokuwa akiishi kwa...
Muungano wa Linda Mwananchi limekemea vikali taarifa za kutekwa kwa mwanaharakati kutoka Tanzania, Twaha Mwaipaya, katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, na kutaka serikali ya Kenya ichukue hatua za haraka kubaini alipo na kuhakikisha usalama wake.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu...
Nimeangalia taarifa zilizochapishwa tarehe 25 Oktoba 2026. Kwa mujibu wa Amnesty International, Twaha Mwaipaya aliripotiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, nchini Kenya, alipokuwa akisafiri kwa teksi. Watu waliodaiwa kumchukua walikuwa kwenye magari matatu. Hata hivyo, taarifa...
Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Twaha Mwaipaya, ameripotiwa kutekwa na watu wenye silaha katika eneo la Kamulu, viungani mwa Nairobi, hali iliyozua wasiwasi kuhusu usalama wake na aliko.
Kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, Mwaipaya...
TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?
TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.