Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya, CHADEMA yamuandikia barua Rais Ruto

Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya, CHADEMA yamuandikia barua Rais Ruto

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Akizungumza Oktoba 27, 2026 Jijiji Dar es Salaam, Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amesema chama hicho kimemuandikia barua rais wa Kenya William Ruto kufuatia taarifa za kutekwa kwa kada wa chama hicho Twaha Mwaipaya nchini humo.

Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

 
Back
Top Bottom