kutekwa kwa twaha mwaipaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya, CHADEMA yamuandikia barua Rais Ruto

    Akizungumza Oktoba 27, 2026 Jijiji Dar es Salaam, Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amesema chama hicho kimemuandikia barua rais wa Kenya William Ruto kufuatia taarifa za kutekwa kwa kada wa chama hicho Twaha Mwaipaya nchini humo. Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya: Wanaharakati nchini Kenya wamshitaki Mkuu wa Polisi nchini Kenya, Mkurugenzi wa Mashitaka na kigogo mwingine

    Hii ndio hatus waliochukua wanaharakati nchini Kenya na kesho ndio watatinga mahakamani Chanzo; Akaunti ya X ya Hilder Newton yenye taarifa rasmi kuhusu habari hii.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Serikali Kenya :Hatujapata taarifa rasmi tunafuatilia kutekwa kwa Twaha Mwaipaya

    Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya...
Back
Top Bottom