Serikali Kenya :Hatujapata taarifa rasmi tunafuatilia kutekwa kwa Twaha Mwaipaya

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya.

Kwa mujibu wa BBC Swahili, ofisi hiyo imesema bado inafuatilia suala hilo, “Bado hatujapata taarifa kuhusu tukio hilo, hivyo tunalifuatilia.” imesema taarifa hiyo.

Chombo cha habari nchini cha Mwananchi kiliripoti kuwa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kupitia Balozi Dkt. Bernard Kibesse alisema anafuatilia taarifa za madai hayo."Bado taarifa ya tukio hilo hatujazipata, hivyo tunafuatilia" Dkt. Kibesse aliiambia Mwananchi

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop

Chanzo : Jambo tv
 
Ukishasikia tunafuatilia/ bado tunafuatilia/ tunafanya uchunguzi........!!
Ujue ndo basi tena, ila kwa hili la mwaipaya Ruto kajivua nguo sana.
 
Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya.

Kwa mujibu wa BBC Swahili, ofisi hiyo imesema bado inafuatilia suala hilo, “Bado hatujapata taarifa kuhusu tukio hilo, hivyo tunalifuatilia.” imesema taarifa hiyo.

Chombo cha habari nchini cha Mwananchi kiliripoti kuwa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kupitia Balozi Dkt. Bernard Kibesse alisema anafuatilia taarifa za madai hayo."Bado taarifa ya tukio hilo hatujazipata, hivyo tunafuatilia" Dkt. Kibesse aliiambia Mwananchi

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop

Chanzo : Jambo tv
In fact,
ripoti za awali kabisa za hiyo drama si ziliripotiwa kutoka kwa mtu alie Ubeligiji.

Sasa ni vizuri kufuatilia kuanzia huko ili kupata uhakika zaidi, kama hakuna taarifa zozote zilizoripotiwa kwenye mamlaka za kiusalama huko Machakosi 🐒
 
GenZ wa Nairobi, wao wanasemaje?
hakuna taarifa zozote za hiyo drama zilizoripotiwa kwenye mamlaka za kiusalama huko Machakosi,

Na Gen z wa Kenya hawamjui Jumbe alieriport drama hiyo kutoka Ubeligiji, ingekua wewe ni gen z wa Kenya, ungefanya nini hapo gentleman? :pedroP:
 
rika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop

Chanzo : Jambo tv
 
In fact,
ripoti za awali kabisa za hiyo drama si ziliripotiwa kutoka kwa mtu alie Ubeligiji.

Sasa ni vizuri kufuatilia kuanzia huko ili kupata uhakika zaidi, kama hakuna taarifa zozote zilizoripotiwa kwenye mamlaka za kiusalama huko Machakosi 🐒
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
In fact,
ripoti za awali kabisa za hiyo drama si ziliripotiwa kutoka kwa mtu alie Ubeligiji.

Sasa ni vizuri kufuatilia kuanzia huko ili kupata uhakika zaidi, kama hakuna taarifa zozote zilizoripotiwa kwenye mamlaka za kiusalama huko Machakosi 🐒
Qmmmk
 
Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya.

Kwa mujibu wa BBC Swahili, ofisi hiyo imesema bado inafuatilia suala hilo, “Bado hatujapata taarifa kuhusu tukio hilo, hivyo tunalifuatilia.” imesema taarifa hiyo.

Chombo cha habari nchini cha Mwananchi kiliripoti kuwa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kupitia Balozi Dkt. Bernard Kibesse alisema anafuatilia taarifa za madai hayo."Bado taarifa ya tukio hilo hatujazipata, hivyo tunafuatilia" Dkt. Kibesse aliiambia Mwananchi

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop

Chanzo : Jambo tv
Janja Janja tu hiyo, wanajua kila kitu kilichotokea.

Kenya wametekeleza agizo walilopewa na Hangaya la kuwachapa mikwaju vijana wasumbufu wa Tanzania watakaokimbilia huko.
 
Hakuna jambo la msingi watafanya kuwabaini wahusika. Huu ni mtazamo na matarajio ya wengi.
 
Inamaana hata CDM haijatuma barua kwenda serikali ya Kenya? Dana Dana nyingi tu watawala wanashirikiana
 
Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya.

Kwa mujibu wa BBC Swahili, ofisi hiyo imesema bado inafuatilia suala hilo, “Bado hatujapata taarifa kuhusu tukio hilo, hivyo tunalifuatilia.” imesema taarifa hiyo.

Chombo cha habari nchini cha Mwananchi kiliripoti kuwa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kupitia Balozi Dkt. Bernard Kibesse alisema anafuatilia taarifa za madai hayo."Bado taarifa ya tukio hilo hatujazipata, hivyo tunafuatilia" Dkt. Kibesse aliiambia Mwananchi

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop

Chanzo : Jambo tv
Inasemakana alikuwa antunzwa na Hilda Newton ni vizuri pia Hilda atoe maelezo ya kutosha huko Kebyaukute ni mpango wa kuuzana . Hilda ukute amepiga dili la fedha
 
Back
Top Bottom