Hujui hata kizungu chepesi, kwamba Maria Sarungi kapost inasemekana amepatikana akiwa hai...bila maelezo ya kinaNdio nini hiki umeandika?
Nadhani leo ndiyo tarehe ambayo mazafakas waliamriwa wamfikishe mahakamani, dead or alive!
02 November 2026
Nairobi, Kenya
Wanasheria Waitaka Serikali Kukomesha Utekaji nyara unaovuka Mipaka ya Nchi na Kufichua Mahali Alipo Twaha Mwaipaya
View: https://m.youtube.com/watch?v=oGm17FpaATM
Lawyers have called on the Kenyan government to end alleged cross-border abductions and account for the whereabouts of Tanzanian national Twaha Mwaipaya, who reportedly went missing after being seized by armed men in Kamulu, Nairobi.
They condemned the alleged attempt to repatriate him to Tanzania, arguing that such action would violate the principle of non-refoulement, which prohibits returning asylum seekers to countries where they risk political persecution.
The lawyers welcomed the court's decision to summon Inspector General of Police Douglas Kanja to appear and explain whether state agents were involved in Mwaipaya's alleged abduction and possible irregular repatriation.
They warned that Kenya risks losing its reputation as a safe haven for people fleeing persecution in the region, recalling previous cross-border abduction controversies involving opposition figures from neighbouring countries
Source : Court Helicopter
02 November 2026
MARTHA KARUA Recalls Abductees Found Dead in Mortuaries, Raises Alarm Over Twaha Mwaipaya's Disappearance
View: https://m.youtube.com/watch?v=Q1o39SwRS30
Senior Counsel Martha Karua has cited previous cases of missing persons who were later found dead in mortuaries as she pressed the High Court to demand answers from police over the disappearance of Tanzanian activist Twaha Mwaipaya.
Appearing before Justice Muteti at the Milimani Law Courts, Karua argued that abductions and enforced disappearances have become a serious national concern, insisting that security agencies must act immediately whenever such cases are reported.Karua wants Inspector General of Police Douglas Kanja and DCI Director Mohamed Amin to appear personally in court and explain Mwaipaya's whereabouts.
However, State Counsel Marwa told the court that investigations were ongoing, with police seeking information from Safaricom, Airtel and Bolt
Source : Court Helicopter
In South Africa, the distinction between independence and freedom in relation to 1994 centers on political sovereignty versus universal human rights and democracy.
Mahakama yenye nguvu imenuokoa

Hakika mwanasheria nguli Afrika Mashariki na Kenya Senior Counsel Martha Karua amekuwa bega kwa bega na CHADEMA kutafuta haki ya kweli , demokrasia na uhuru wa pili (freedom) baada ya uhuru wa bendera (Independence 1961) uliotekwa nyara kwa miaka 65 na chama dola kongwe dhalimu CCM
TOKA MAKTABA :
19 May 2025
Tukio la Martha Karua kuzuiwa Uwanja wa ndege limepindua meza, sasa no reform election
Uwanja wa Ndege
Julius Nyerere Intl Airport
Dar es Salaam
CHADEMA YAPATA BALOZI
Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo dunia ilishindwa kuelewa hali ya kisiasa Tanzania kwa kuwa dola ilikuwa inajificha katika kichaka cha kutumia 'kiLugha' yaana Kiswahili kuficha maovu yake
View: https://m.youtube.com/watch?v=5HU2fES7Es0
Kupitia ki-English habari zimesambaa kona zote za dunia, kuhusu kesi na mazingira ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu pamoja na mfumo wa haki jinai unavyotumia dola kwa njia haramu kuzui mgombea wa urais kupitia chama kikuu kikubwa CHADEMA na kuwa chama cha CHADEMA nacho kimepigwa rungu la kutoruhusiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030
Bahati hii imekuja wakati muafaka na mheshimiwa Martha Karua atakuwa msemaji asiye rasmi wa CHADEMA katika diaspora kuendelea kuipatia dunia muendelezo wa kinachijiri kesho Kisutu tarehe 19 May 2025 pamoja na hali ya kisiasa kuelekea Oktoba 2025
Senior counsel msomi Martha Karua kutokea jijini Nairobi atakuwa ni balozi wa CHADEMA kuendeleza struggle ya No Reforms No Election.
KAMA JULIUS NYERERE ALIVYOKUWA BALOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI, MARTHA KARUA NAYE AMEKUWA BALOZI WA CHADEMA:
Tukisoma historia na kumbukumbu za intaneti tunaona Tanzania wakati wa vuguvugu la ukombozi kusini mwa Afrika, Mwl. Nyerere, brigedia Hashim Mbita, balozi Salim Ahmed Salim n.k kwa kutaja kwa uchache walikuwa mabalozi wa vyama vya ANC, ZANU , SWAPO n.k kutetea wapigania uhuru kama Nelson Mandela, Robert Mugabe na wengine waliokuwa jela chini ya tawala za wachache Zimbabwe na zile za ubaguzi South Africa.
TOKA MAKTABA :
UBALOZI WA NYERERE KUTETEA ZIMBABWE CHINI YA UTAWALA WA WACHACHE
2015 23 Julai
View: https://m.youtube.com/watch?v=pBdbxEUF_ag
(21 Nov 1975) President Nyerere of Tanzania, flanked by Benjamin Mkapa and other Tanzanian officials is questioned at a press conference, whether an armed struggle could be avoided, in Rhodesia (Zimbabwe) ...
SALIM AHMED SALIM ALIVYOJITWISHA UBALOZI KUTETEA WAPIGANIA UHURU WA ZIMBABWE
View: https://m.youtube.com/watch?v=jhGng6DG5Nw
2015 24 Julai
(11 February 1980) Tanzanian Minister of Foreign Affairs, Salim Ahmed Salim, holds a press conference on the delevlopments in Zimbabwe Rhodesia.
Pia soma > Pre GE2025 - Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
MAKALA SEHEMU YA KWANZA:
TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE
MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS
View: https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s
Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko walijitenga na ANC na kuunda chama chenye msimamo mkali na kukiita Pan Africanist Congress (PAC). Historia za vyama hivyo viwili yana uhusiano usioweza kutenganishwa. Mwezi huu (Septemba)...2024 elections Pan Africanist Congress | PAC going back to its roots: Mzwanele Nyhontso
- Bagamoyo
- afrika dar dar es salaam jiji kusini mapigano mecca ukombozi vyama
- Replies: 279
- Forum: Jukwaa la Historia
Usije tena ukamtumia Maria Sarungi kama chanzo cha habari.. Yaani huwa akionngea kitu siamini hadi nione..
Asante sana. Next time skip majitu kama hayo au nlockHujui hata kizungu chepesi, kwamba Maria Sarungi kapost inasemekana amepatikana akiwa hai...bila maelezo ya kina