IGP wa jeshi la polisi la Kenya alifika Mahakama kujibu wapi wamefikia ktk uchunguzi wa jinai (crime) wa kutekwa kwa Twaha Salim Mwaipaja raia wa Tanzania aliyekuwa anaishi uhamishoni kukimbia utawala wa Samia HassanThe Inspector General Of Police IGP Douglas Kanja Appears In Court To Explain Investigation Progress of an alleged abducted Tanzanian Twaha Mwaipaya. Mwaipaya was allegedly abducted in Kenya with reports indicating possible irregular repatriation
Moja ya mambo ya hovyo kwa mtoto wa kiume ni kutegemea kupata taarifa toka kwa Mange na Maria. Japo angalau Mange kuna muda huwa ana senses huyo mwingine ni typically senseless.