Mwenye taarifa kamili atujuze. Is this Twaha Mwaipaya?

Mwenye taarifa kamili atujuze. Is this Twaha Mwaipaya?

Hiyo tweet ni response ya mwanafunzi wa sheria wa Uganda anayeitwa Louis Ninsiima aliyetekwa na vibaka wa Museveni na Muhoozi leo ndio hapo imejulikana kapatikana akiwa hai.

Na sio kuhusu Twaha Mwaipaya.

Twaha hajapatikana na DCI wa Kenya wamesema suala lake liko katika uchunguzi hivyo mahakama imetoa wito kwa IGP wa Kenya kufika mahakamani kutolea maelezo Twaha alipo aidha mzima au kama ameuwawa.
ASANTE sana
 
02 November 2026
Milimani Law Courts
Nairobi, Kenya

Wakili Mango Aiambia Mahakama Twaha Mwaipaya Anakabiliwa na Hatari ya Kurudishwa Tanzania​

Lawyer Mango Tells Court Twaha Mwaipaya Faces Risk of Repatriation to Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=SNXwN8zgtwQ


Lawyer Abner Mango has told the High Court that he has intelligence suggesting that missing Tanzanian activist Twaha Mwaipaya could be repatriated to Tanzania, the country he fled while seeking protection in Kenya.

Speaking before Justice Muteti at the Milimani Law Courts, Mango warned that the possibility of Mwaipaya being returned to the very country he was seeking refuge from raises serious concerns about his safety and the urgency of the habeas corpus proceedings.

Mango urged the court to ensure that Inspector General of Police Douglas Kanja and DCI Director Mohamed Amin account for Mwaipaya’s whereabouts, arguing that the court’s orders must be strictly obeyed.

He also raised concerns over the rights of foreign nationals seeking protection in Kenya, insisting that the State has a duty to uphold the law and protect individuals from unlawful return to countries where they may face danger.
Source : Court Helicopter
 
Mfumo wa haki jinai Kenya, umefanya majukumu yake kikatiba bila kupepesa macho

Mahakama imeamuru vyombo kuwajibika, na vikafanya kazi kwa kulingana na majukumu yake bila visingizio vya kuwa watu wasiojulikana wenye wlvu, wanaodai madeni n.k kuhusika kama afanyavyo IGP Camillus Wambura, SACP J. Muliro au mahakama kuongopa kuibana Polisi ya Tanzania kutafuta watu waliopotezwa.

Hayo majina yanatia hasira aisee.
 
Mubashara kutoka kortini Mwenendo wa kesi ya kutekwa Mwanaharakati Twaha Mwaipaya

02 November 2026
Milimani Law Courts
Nairobi, Kenya

MAOMBI MAZITO YAWASILISHWA, SAMIA ATAJWA KATIKA KESI YA KUTEKWA KWA TWAHA MWAIPAYA

View: https://m.youtube.com/watch?v=82bBGxJHxeU
2026
The High Court has heard disturbing details surrounding the disappearance of Tanzanian national Twaha Mwaipaya, who was allegedly abducted by masked men in broad daylight at Kamulu, Nairobi, on October 25, 2026. According to an account presented in court by his friend, Magwe Alip, the two are political asylum seekers who fled Tanzania in October 2025 over their involvement in opposition politics. Mwaipaya is said to have been a vocal critic of President Samia Suluhu Hassan's government.The court was told that the abductors intercepted the two as they travelled in a cab before seizing Mwaipaya and disappearing with him. A missing person report was subsequently filed at Rwai Police Station under OB Number 47. Despite a court order requiring the respondents to produce Mwaipaya, government lawyers told the court that he was not in their custody and that investigations were ongoing.

Source : Court Helicopter
 
Mfumo wa haki jinai Kenya, umefanya majukumu yake kikatiba bila kupepesa macho

Mahakama imeamuru vyombo kuwajibika, na vikafanya kazi kwa kulingana na majukumu yake bila visingizio vya kuwa watu wasiojulikana wenye wlvu, wanaodai madeni n.k kuhusika kama afanyavyo IGP Camillus Wambura, SACP J. Muliro au mahakama kuongopa kuibana Polisi ya Tanzania kutafuta watu waliopotezwa.
Sisi tunatia huruma aise
 
Maria Sarungi hua mimi siamini taarifa zake hata kwa asilimia 10..Ni muongo muongo fulani yani .
 
MAHAKAMA ZA KENYA KUHUSU KESI ZINAZOHUSHISHA MAOFISA MABALOZI WA MATAIFA YA KIGENI

Maofisa wa ubalozi wa kiTanzania waliopo Washington DC, Nairobi, Pretoria n.k wajitazame wanapopokea amri kutoka juu, mabosi wenu watawatosa ..

31 October 2026

Venezuela Diplomat Jailed for 20 Years for Killing His Ambassador Over Power Struggle

View: https://m.youtube.com/watch?v=7UoIgRf4zAs
Former Venezuelan diplomat Dwight Sagaray lost his appeal at the Court of Appeal, with judges upholding his conviction for masterminding the murder of his successor, Ambassador Olga Fonseca.

The Court of Appeal ruled that Sagaray could not rely on diplomatic immunity to escape prosecution in Kenya after Venezuela formally waived his immunity, allowing Kenyan authorities to charge and try him over the murder.

In a judgment delivered on March 7, 2025, Justices Abida Ali-Aroni, Lydia Achode and J.M. Mativo dismissed the appeal filed by Sagaray and three co-accused persons, upholding their convictions and 20-year prison sentences.

A Kenyan court Thursday convicted Venezuelan diplomat Dwight Sagaray on murder charges for a killing that occurred 11 years ago. The High Court of Kenya in Nairobi found Sagaray guilty of the July 2012 murder of Ambassador Olga Fonseca, whose body was found in her Nairobi, Kenya residence.

Following the 2012 murder, the Venezuelan government stripped Sagaray of his diplomatic immunity. As a result, Sagaray faced prosecution. Despite Sagaray’s status as a foreign national and a flight risk, the court granted his release on bail but imposed stringent conditions to ensure his attendance at trial.

During trial, the court found that Fonseca’s arrival in Kenya angered Sagaray because Fonseca was to oversee the embassy, which had been Sagaray’s role up until she arrived. A power struggle between the two ensued. Justice Rosslyn Korir stated that Sagaray’s motive was clear as per compelling evidence of his earlier attempts to further impede Fonseca’s takeover of the embassy. The court found that the prosecution successfully established the killing act, together with malice aforethought and intent, which resulted in the guilty verdict.

Three Kenyan nationals were convicted alongside Sagaray for aiding and abetting the crime. According to the court, sentencing in the case will occur some time in February
 
Day to Day naiona Sheria ikizidi kuwa course ya Muhimu sana hapa Duniani
 
Hiyo post ya Maria ni kuhusu kijana mwingine huko Kenya. Haimhusu Mwaipaya.
 
Mfumo wa haki jinai Kenya, umefanya majukumu yake kikatiba bila kupepesa macho

Mahakama imeamuru vyombo kuwajibika, na vikafanya kazi kwa kulingana na majukumu yake bila visingizio vya kuwa watu wasiojulikana wenye wlvu, wanaodai madeni n.k kuhusika kama afanyavyo IGP Camillus Wambura, SACP J. Muliro au mahakama kuongopa kuibana Polisi ya Tanzania kutafuta watu waliopotezwa.
Halafu kuna wapumbavu wakiambiwa tunataka katiba mpya utawasikia katiba ni karatasi tu, katiba haikuletei ugali mezani.
 
Mfumo wa haki jinai Kenya, umefanya majukumu yake kikatiba bila kupepesa macho

Mahakama imeamuru vyombo kuwajibika, na vikafanya kazi kwa kulingana na majukumu yake bila visingizio vya kuwa watu wasiojulikana wenye wlvu, wanaodai madeni n.k kuhusika kama afanyavyo IGP Camillus Wambura, SACP J. Muliro au mahakama kuongopa kuibana Polisi ya Tanzania kutafuta watu waliopotezwa.
Kama taarifa hiyo ya Sarungi ni sahihi, nami itanilazimu niwape sifa stahiki kabisa Kenya kwa hatua muhimu wanazopiga kwenda mbele.

Kenya will be a beacon of hope in this region.
 
Usije tena ukamtumia Maria Sarungi kama chanzo cha habari.. Yaani huwa akionngea kitu siamini hadi nione..

Anatumia uhuru wake wa kuongea lakini sio sababu ya kuaminika kwa kila asemacho.
To be fair. Hajasema chochote kuwa anauhakika nacho. Ni taarifa tu ambayo hata yeye anasubiri ijitokeze zaidi.

Kwenye maswala kama haya, kila neno linbalotia matumaini siyo la kulalamikia.
 
Kuna jii kitu. Any clue?

View attachment 3703373

MUBASHARA / LIVE


03 November 2026
Milimani Law Courts
Nairobi, Kenya

IGP Kanja Denies Police Involvement in Disappearance of Tanzanian National Twaha Mwaipaya


View: https://m.youtube.com/watch?v=U1-iuWbaTJk

Inspector General of Police Douglas Kanja has denied claims that the National Police Service is responsible for the disappearance of Tanzanian national Twaha Mwaipaya, telling the court that the missing man has never been in police custody.

In his response before the court, Kanja maintained that the National Police Service has no responsibility for Mwaipaya's disappearance, distancing the police from allegations that security agencies may have been involved in his alleged abduction or detention.

The Inspector General further insisted that Twaha Salim Mwaipaya had never been held in police custody, disputing any suggestion that the Tanzanian national was being detained by officers under his command.

Source : Court Helicopter
 
Back
Top Bottom