Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.

Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.

Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
FB_IMG_1793218326497.jpg
FB_IMG_1793218713611.jpg
 
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipwaya ni kaka yake na ndugu wa damu wa Twaha Mwaipwaya aliyetekwa huko oversees.

Haoni uchungu na kuhoji alipo ndugu yake?

Au bora ushibe kuliko uhai wa ndugu!
 
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipwaya ni kaka yake na ndugu wa damu wa Twaha Mwaipwaya aliyetekwa huko oversees.

Haoni uchungu na kuhoji alipo ndugu yake?

Au bora ushibe kuliko uhai wa ndugu!
aone uchungu kivipi dhidi ya drama?

yaani mtu aharibu nyumbani kwa tamaa zake akimbilie ugenini na kuishi kama digidigi kwa hiyari yake, apate matatizo ya kujitakia, halafu wengine wawe na uchungu, surely?

huenda uchungu wanaoweza kupata familia yake ni fedheha wanazozipata kwa jamii, kwamba ndugu yao kaamua kua mtu mwenye nia ovu na nchi yake, badala ya kufanya siasa za hoja, ameamua kutukana viongozi wa nchi na kutunga uongo, porojo upotoshaji na uzushi dhidi ya uongozi wa Tanzania na kuchochea chuki miongoni mwa waTanzania wote, kitu ambacho kinamtesa kibinafsi huko utumwania alikokimbilia 🐒
 
ukuu wa wilaya kapewa na viongozi ambao ni sehem ya chama tawala, je unafikiri anachakufanya au atakuwa na sauti kuhusu swala la ndugu yake kutekwa ? ukizingatia ndugu yake ni sehem ya wakosoaji wa serikali iliyopo madarakani.
 
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipwaya ni kaka yake na ndugu wa damu wa Twaha Mwaipwaya aliyetekwa huko oversees.

Haoni uchungu na kuhoji alipo ndugu yake?

Au bora ushibe kuliko uhai wa ndugu!
Wale sio ndugu acha upotoshaji.
 
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipwaya ni kaka yake na ndugu wa damu wa Twaha Mwaipwaya aliyetekwa huko oversees.

Haoni uchungu na kuhoji alipo ndugu yake?

Au bora ushibe kuliko uhai wa ndugu!
Sasa kama umezaliwa baba mmoja mama mmoja lakini mdogo wako kaamua kuwa fala, utamsadiaje?

Muache DC wa Mtwara apige kazi kutekeleza ilani ya chama
 
Back
Top Bottom