Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

aone uchungu kivipi dhidi ya drama?

yaani mtu aharibu nyumbani kwa tamaa zake akimbilie ugenini na kuishi kama digidigi kwa hiyari yake, apate matatizo ya kujitakia, halafu wengine wawe na uchungu, surely?

huenda uchungu wanaoweza kupata familia yake ni fedheha wanazozipata kwa jamii, kwamba ndugu yao kaamua kua mtu mwenye nia ovu na nchi yake, badala ya kufanya siasa za hoja, ameamua kutukana viongozi wa nchi na kutunga uongo, porojo upotoshaji na uzushi dhidi ya uongozi wa Tanzania na kuchochea chuki miongoni mwa waTanzania wote, kitu ambacho kinamtesa kibinafsi huko utumwania alikokimbilia 🐒
Kuna mpambe na mlamba matako wa dictator Idi Amini aliitwa Maliamungu, alikuwa mropokaji zaidi yako.

Uliza taarifa zake aliishia wapi
 
Gentleman,
sidhani kama kuna ndugu wa huyo mfuata mkumbo lofa kama anaweza kumuonea huruma au kujiskia uchungu kwa jitu tukanaji ndezi kama hilo jamaa lililokubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na sasa linaishi kama digidigi kwa ujinga wake mwenyewe.

I don't kama yupo wa kumuonea huruma mtu useless kiasi hicho 🐒
 
aone uchungu kivipi dhidi ya drama?

yaani mtu aharibu nyumbani kwa tamaa zake akimbilie ugenini na kuishi kama digidigi kwa hiyari yake, apate matatizo ya kujitakia, halafu wengine wawe na uchungu, surely?

huenda uchungu wanaoweza kupata familia yake ni fedheha wanazozipata kwa jamii, kwamba ndugu yao kaamua kua mtu mwenye nia ovu na nchi yake, badala ya kufanya siasa za hoja, ameamua kutukana viongozi wa nchi na kutunga uongo, porojo upotoshaji na uzushi dhidi ya uongozi wa Tanzania na kuchochea chuki miongoni mwa waTanzania wote, kitu ambacho kinamtesa kibinafsi huko utumwania alikokimbilia 🐒
We mwanamke punguza kuandika maelezo marefu au hukufundishwa barua za simu shuleni🚮
 
Gentleman,
sidhani kama kuna ndugu wa huyo mfuata mkumbo lofa kama anaweza kumuonea huruma au kujiskia uchungu kwa jitu tukanaji ndezi kama hilo jamaa lililokubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na sasa linaishi kama digidigi kwa ujinga wake mwenyewe.

I don't kama yupo wa kumuonea huruma mtu useless kiasi hicho 🐒
Damu ni nzito Kuliko maji!Hayo uliyoandika hapa umeandika tu kishabiki!
Sidhani kama angekuwa ndugu Yako mliyezaliwa tumbo Moja ungetamka hayo!
 
sinadhani kama inaweza kua nzito dhidi ya ndugu useless kama huyo mamluki gentleman 🐒
 
Useless kwako,ila kwa wengine ni Kaka,baba au mtoto!Huna haki ya kuzisemea hisia za ndugu wa damu!Kwa Mimi ambaye nimekua na kaka yangu every step of the way,ups and downs mpaka umri huu,nothing on this earth can break that bond!
Jiepushe ni hizi mambo ndogo ndogo,hazina msingi!Unaweza kujenga hoja Yako kwa namna Bora zaidi!
Si Lazima ustep this low!
 
Huyo Mr blaablaa ana sifa 4.

1. Mdini toka Pemba.

2. Muuaji.

3. Mnufaika wa wizi wa rasilimali za Tanganyika unaofanywa na genge la wahuni.

4. Mtetezi wa kila uozo wa watawala

Hata useme, uliye, kwa machozi ya damu hakuelewi.
 
Umamluki wake ni kukataza na kukemea mauaji na utekaji na sio zaidi ya hilo.
kwani akina Gwajiboy wanafanya nini na mbona wapo Tanzania?

anatukana halafu anajishtukia mwenyewe na kukimbia 🤣

kina Paul Mwangi si wamasaidie pale Kenya?🤣
 
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipwaya ni kaka yake na ndugu wa damu wa Twaha Mwaipwaya aliyetekwa huko oversees.

Haoni uchungu na kuhoji alipo ndugu yake?

Au bora ushibe kuliko uhai wa ndugu!
Swali hili liende kwa John Nchimbi pia
 
Back
Top Bottom