OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Maisha yalivyo ndani ya kichwa chako na nje ya kichwa chako ni tofautiKwamba hana maisha nje ya ukuu wa wilaya?
Maisha yalivyo ndani ya kichwa chako na nje ya kichwa chako ni tofautiKwamba hana maisha nje ya ukuu wa wilaya?
Na tayari wamemuuaDC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
View attachment 3700506View attachment 3700507
Na tayari wamemuua
Wanachoma moto kufuta ushahidi.Wakiua wanapeleka wapi au mamba