Abdallah Mwaipaya ni kiongozi Mkuu wa Wilaya ya Mtwara katika Mkoa wa Mtwara.
Kabla ya kuingia katika utumishi wa umma, alikuwa anafanya kazi ya uandishi wa habari na utangazaji.
Ana shahada ya Bachelor of Arts in Mass Communication kutoka Tumaini University (Dar es Salaam College).
Aliwahi kufanya kazi kama mtangazaji mkuu wa habari pamoja na mtayarishaji na mtangazaji wa vipindi katika ITV na Radio One nchini Tanzania. Pia aliwahi kuwa Naibu Mkurugenzi wa Chaneli katika Capital Radio.
Katika majukumu yake ya sasa serikalini, amekuwa akishiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo na matukio ya kitaifa katika Wilaya ya Mtwara.
Miongoni mwa shughuli hizo ni kumpokea Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi wakati wa ziara inayohusu miradi ya gesi Februari 2026, kuongoza maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kushirikiana na National Environment Management Council (NEMC), kushiriki maadhimisho ya Skauti Day, pamoja na uzinduzi na uhamasishaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa wote.
DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria.
Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake.
Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya, Oktoba 24,2025 ameongoza vyombo vya ulinzi na usalama, wananchi na vikundi mbalimbali vya Jogging na hamasa katika matembezi ya miguu kuzunguka maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani. Matembezi hayo ya miguu yalihudhuriwa na Kamanda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.